Be very careful what you wish for!

Kulala saa 12 za jioni sio noma kabisa, ilhali mambo yatakaa sawa
 
Nimewadanganyaje watu?

Watanzania tunakaribia milioni 70 lakini hatuwezi kufanya chochote dhidi ya kundi dogo la watu!

That’s an indictment on us.

We are too docile.
Binadamu anatawala wanyama wote duniani pamoja na uchache wake. Kuku wako billion 20, ndege wengine wako billion 50 na bado wanaliwa tu na binadamu.
 
Uko sahihi! Wao wawepo kulinda WANANCHI SIKU TA TAREHE 29! Wananchi wanajua wanachotaka! Jeshi liwepo kuwalinda wasikutwe na chochote!
 
Nimewadanganyaje watu?

Watanzania tunakaribia milioni 70 lakini hatuwezi kufanya chochote dhidi ya kundi dogo la watu!

That’s an indictment on us.

We are too docile.
Lazima uzingatie Historia katika kushauri !!.

Lazima uzingatie Asili .

Watanzania ni watu ambao kufanya jambo ni lazima mbele yao au nyuma yao kuwepo na watu wanaowahakikishia "UHAI WAO".

Alichokifanya huyu Captain, kinathaman kubwa sana kushinda hata ya Polepole ndio Sababu Kikundi Cha Wahuni kimeanza kazi ya kuizonga Familia ya Mwanajeshi huyu na sahizi inasemekana wameanza Kufatilia taarifa zake nyeti za MARAFIKI wake.


CCM imeogopa, tuendelee hapahapa


Hayo ya Jeshi Sijui nini, tuyaache... KWA SASA NI KUIONDOA CCM MADARAKANI KWA NAMNA YOYOTE
 
Binadamu anatawala wanyama wote duniani pamoja na uchache wake. Kuku wako billion 20, ndege wengine wako billion 50 na bado wanaliwa tu na binadamu.
Kwa hiyo Watanzania wengine wote, ukiondoa CCM na dola yao, ni wanyama? Ni nyumbu?
 
Wewe ushawahi kuandamana hata mara moja?
 
If all this is true, then this junior commissioned officer is extremely naive. Hatua za kijeda hazifanyiki kwa style hii. Atatiwa misukosuko sana, kama sio kuwa court-martialed na kuachishwa Jeshi kwa fedheha.

Hata Ibrahim Traore angetumia style hii, asingeweza kuikomboa Burkina Faso!
 
Kwa tafsiri yake Jeshi likichukua nchi haiwezi kuwa kama Traore

Ni kipindi cha mpito tu kwa ajili ya kufanya reforms kadhaa ili uongozi wa kidemokrasia uingie kupitia kura.

Na uzuri ni kwamba wale wahujumu nchi watakuwa washatiwa nguvuni na hapo nchi kwa namna moja au nyingine itakuwa salama.

Nasisitiza tena, tafsiri ya Captain mwenzangu mmeinukuu vibaya. Hajakusudia nchi kuwa chini ya jeshi kwa maana ya kutozingatia demokrasia bali ni kipindi tu cha mpito wakati tukisubiri marekebisho kadhaa ya kimfumo.

Halaaa Tesha..
 
Traore kaikomboa kweli Burkina au ni stori tu?

Maana kule Guinea, Mamady Doumbouya kashaonyesha kila dalili kwamba hatoki madarakani.

Hata Traore naye keshaanza kuonyesha his dalili.

Mwisho wa siku kuna uwezekano mkubwa sana wa wote hao kutoka madarakani kwa njia ile ile waliyotumia kuingia kwenye hayo madaraka.
 
🤣🤣

Wote wanasemaga na kuahidi hivyo hivyo.

Hakuna jipya hapo.

Hamjui mkitakacho.
 
Afrika inaongoza kwa tawala za kijeshi na inaongoza pia kwa tawala mbovu. Mfano mzuri ni Burkina Faso, 40% ya nchi inamilikiwa na waasi ila nchi imewahi fanya mapinduzi mara 9 kati ya hayo 6 yalifanikiwa na 3 yakashindwa.

Nigeria iliwahi ongozwa kijeshi mara nyingi baadae wakagundua bora utawala wa kiraia hata uwe mbovu namna gani utaondoka baada ya miaka 10 na una 2 terms mnaweza badili kwa mbinde hapo baada ya miaka 5.

Kwanza hamna Captain wa kufanya maamuzi pale, sasa Air force itumie zile J-7G nzee kuzuia vikosi tiifu? Anti air systems ziko na Army sio Air force.
Cheo chake kidogo sana kuchukua hatua, na kipo Air force ambayo kwetu ni neglected na ina watu wachache. Ndio maana katoa ushauri.

Jeshi lenyewe tumeliona kwenye ujenzi wa miundombinu, recruitments zinavyofanyika, usafi siku za maandamano na makamanda wake wengine tunawajua kina Shimbo et al. Ukiwa mtulivu huwezi kuwa na expectations kubwa kwa jeshi hili.

Yote kwa yote, jeshi huwa ni reflection ya jamii. Huwezi kuwa na jamii ya kijinga alafu ukawa na jeshi zuri, haohao manabii feki, matapeli, wezi, wavivu, wakwepa kodi, wazinzi na wachepukaji wasio waaminifu kwenye ndoa, wezi wa mali za kampuni binafsi na taasisi za serikali ndio jamii hiyohiyo inatoa wanajeshi.
Haiwezekani kuwe na tofauti na kwa vile kunakuwa hakuna rule of law kabisa kabisa bali amri na matakwa ya "'jopo, tume, kamati" ya ukombozi sijui uzalendo basi ndio mambo yanaharibika zaidi maana mifumo ya kuwajibisha na kuhoji haipo, ukiuliza unatungiwa kesi ya kudhoofidha jitihada za jopo/tume/kamati na Kangaroo court inatafuta ushahidi wa kubumba na jaji anaelekezwa hukumu gani itolewe.
 
Kwa hatua iliyofika Tanzania sasa Military intervention is necessary.

CCM wamefikia hatua mbaya sana. Hawamsikilizi yeyote na hawasikilizi chochote. Wameliharibu Taifa na mifumo yote. Si Mahakama, Si Bunge si Mfumo wa Uchaguzi si Polisi si TISS si TAKUKURU

Naunga mkono Jeshi kuchukua nchi na tuanze upya.

Kwa sasa hakuna njia yeyote ya kuanza upya zaidi ya Jeshi kuchukua nchi na kusimamia Mchakato wa Katiba Mpya tusuke upya mifumo yetu na nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…