Be like bro Fun Special thread

d3e3bede93226f5749b3aa03fa5236ef.jpg
 
Ahahahaha dah nimekumbuka Mwalimu wetu mmoja wa hesabu alikua haachi kipindi, siku moja matokeo ya Mock yakaja vibaya sana kwenye hesabu, basi watu walipoulizwa sababu wakasema mwalimu anaingia sana darasani apunguze.
Hahaha hahaha hahaha jamani hurumieni mbafu sangu. ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom