MBEBA MAONO KAJA
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 365
- 195
nimekusoma vyema kaunga. Ila kiukweli wengi ha(wa/tu)jatulia na sisi waafrika ndio tunaongoza kwa uongo!
Mambo ya mahusiano tafiti nyingi hufanyika majadiliano tu. I hope wengi wetu hatuwezi kuwa honest.
si kweli kuwa sisi waafrika ndio wasaliti tu kwenye ndoa zetu,nina mifano hai ya wazungu kadhaa nilowahi fanya nao kazi na walikuwa wanapiga mechi za ugenini kama kawaida.