Be honest, nipe mtazamo wako juu ya hili

Be honest, nipe mtazamo wako juu ya hili

Jamani mimi siwezi kuwa na mtu zaidi ya mmoja yani hiyo kitu imenishinda kabisa sioni mantiki yake hivi penzi huwa linagawanyika?kwangu mimi haitatokea kamwe mimi nikipenda nimependa nikipigwa kibuti nasubiri mwingine.
 
Walokole at work!

never mind the time will tell!
 
Siku hizi chick anakua wako mnapokua rum akitoka nje tu kubali kushea. The same applies kwenye ndoa atakua mkeo unapokua nae bt ukitoka kubali kumegewa coz hiyo kitu ni inevitable....
 
Kwanza naomba uelewe mimi sio mlokole na wala si mkristo kwa ujumla,nimetoa mtazamo wangu mimi kama mimi,kila anaekuwa tofauti na mtazamo wako nimlokole? Jiheshimu nawe utaheshimiwa QUOTE=Mashaxizo;10916762]Walokole at work!

never mind the time will tell![/QUOTE]
 
Mtoa mada kasema mtu aseme expirience km ashawah kutembea na mke wa mtu au mume wa mtu alijisikiaje,hiyo ndo topic sasa nyie mnaleta za uzinzi cjui uasherati mwiko yeye hajauliza hayo
 
Mimi nina swali pia kabla sijakujibu......
Hivi inakuaje umtongoze Ke ilhali unajua ana mtu wake??? na hata akikwambia anaye bado unamtaka???? wakati huo huo na wew Me unakuwa na mtu wako??
 
Mimi nina swali pia kabla sijakujibu......
Hivi inakuaje umtongoze Ke ilhali unajua ana mtu wake??? na hata akikwambia anaye bado unamtaka???? wakati huo huo na wew Me unakuwa na mtu wako??

Swali zuri. Bazazi wana majibu..!
 
Mimi nina swali pia kabla sijakujibu......
Hivi inakuaje umtongoze Ke ilhali unajua ana mtu wake??? na hata akikwambia anaye bado unamtaka???? wakati huo huo na wew Me unakuwa na mtu wako??

mkuu......1:-kama haja kutongoza yeye mwenyewe ujue ata jishobokesha kwako mpaka utajuta

2:-wake za watu siyo wa kweli........kwa macho huwezi jua ila ukisha anza fanya yako ndiyo utajua kua anamtt na mme ila lita kwambia nimeachana naye........we jiulize why akujibu hivyo??

3:-sikuizi no true love mkuu..........jichanganye uchunwe
 
Hao wanaosex huku wanajua wana.waume zao n wehu tu na.tamaa mbaya. Hivi hiyo uliyonayo haiwatoshi? Tamaa sana zinatuponza sie watoto.wa kike siwez kufanywa tia tia hata siku moja mungu aniepushie mbali
 
Back
Top Bottom