Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Foleni mke wangu, naona kule mbele sijui gari hazitembei kabisaaa??? Ila nakuja soon...
mmmmmh leo sunday foleni ya wapi
Foleni mke wangu, naona kule mbele sijui gari hazitembei kabisaaa??? Ila nakuja soon...
Mimi nina swali pia kabla sijakujibu......
Hivi inakuaje umtongoze Ke ilhali unajua ana mtu wake??? na hata akikwambia anaye bado unamtaka???? wakati huo huo na wew Me unakuwa na mtu wako??
hongera sana kwa msimamo wako mzuri but pole kwa kushikilia msimamo wa wapiga nyeto!
Jay jay iliyo salama sio rahisi kufunuliwa na kila mtu sio?.Nikisikia story za hivi nakumbuka ndugu yangu fulani alikuwa anatembea na wamama watu wazima walioolewa, wengine wajane. Young guy kwenye miaka 20. Nilikuwa najiuliza hawa wamama what could they possibly want from this guy, ni nini wanachokosa kwa waume zao? Sahivi ndugu yangu ni mwathirika. Hivyo ndugu, next time unamvua chupi jiulize huyu mtu amekosa nini kwa mume wake na kwanini anajiamini sana kukuambia ana mume na akaendelea kukuvulia chupi? Huenda that is a way of telling you yeye ni mwathirika, ila wewe unang'ang'ania. No such thing as free pussy, at least free "good" pussy. Good luck.
Nikisikia story za hivi nakumbuka ndugu yangu fulani alikuwa anatembea na wamama watu wazima walioolewa, wengine wajane. Young guy kwenye miaka 20. Nilikuwa najiuliza hawa wamama what could they possibly want from this guy, ni nini wanachokosa kwa waume zao? Sahivi ndugu yangu ni mwathirika. Hivyo ndugu, next time unamvua chupi jiulize huyu mtu amekosa nini kwa mume wake na kwanini anajiamini sana kukuambia ana mume na akaendelea kukuvulia chupi? Huenda that is a way of telling you yeye ni mwathirika, ila wewe unang'ang'ania. No such thing as free pussy, at least free "good" pussy. Good luck.
Sasa kama sisaliti mume wangu unataka niwe honest vipi? Yaani nyie mabaya ndio mnaona kitu normal, mnahitaji kufunguliwa.
Inafikia mtu anashindwa kuongea mambo mema kwa kuogopa kupondwa, na ukiongea uovu ndio unaonekana uko top of the planet.
Haya suppose kila mtu is lying to his neighbour as the scriptures say, unategemea ukweli gani ambao hautauona uongo? Au mnataka watu waelezee jinsi gani cheating na uzinzi inavyowapa 'raha'?
mkuu......1:-kama haja kutongoza yeye mwenyewe ujue ata jishobokesha kwako mpaka utajuta
2:-wake za watu siyo wa kweli........kwa macho huwezi jua ila ukisha anza fanya yako ndiyo utajua kua anamtt na mme ila lita kwambia nimeachana naye........we jiulize why akujibu hivyo??
3:-sikuizi no true love mkuu..........jichanganye uchunwe
MankaM umeshajibiwa maswali yako, naomba tu utimize ahadi yako.
Jay jay iliyo salama sio rahisi kufunuliwa na kila mtu sio?.
Habari za hapa wadau?
Wadau nimekua mzito sana kusex na mke wa mtu. nikitambua tu ke nnaye date naye ni mke wa mtu namuacha na akijaribu kunifata fata anaweza akaniona fyonso! maana mineno nitakayo mwambia anaweza akahisi ilikuwa wrong number.
BUT kamsimamo hako hupungua makali kwa ke asieolewa but anaishi na m'me kama mke na mume. to be honest ke design hiyo humpotezea kimya kimya unless ukame umenikuta! maana hapo hujipa moyo wote tunazini tu.
AMA kwa yule ke mwenye mme tu neither mume nor kuishi naye kama mke na mume, hapo najigongea tu baridi barafu unless awe ke wa rafiki yangu. maana naamini hakuna mwanamke asie na mme.
And i believe ukikubaliwa jua kuna boya umeshampindua or mmekubaliwa nyote, si unajua tena wanawake wa leo waweza jitapa upekeo kumbe ummoja kati ya behewa tatu.
Hapa nina maswali mawili, moja kwa ke na jengine kwa me, please be honest kuna kitu natafuta hapa.
Ukijifanya mlokole utaniingiza chaka.
Swali la kwanza kwa me.
IVI HUWAGA UNAWAZA NINI UNAPOSEX NA MKE WA MTU AU KE ANAEISHI NA ME KAMA MKE NA MUME???? NA JEE HAUFIKIRII KWAMBA HALI HIYO HUENDA IKAKURUDIA PINDI UTAKAPOOA?
Swali la pili kwa mwanamke.
JEE INAKUAJE UNAMTU WAKO THEN UNAAMUA KUSEX NA ME MWENGINE?
Toa Hoja
NB: kuna watu sio waelewa. Ulokole ni theory tu no practise.
Yesu anaweza kukufungua kabisa kutoka katika vifungo na hayo mapepo ya UZINZI.
Okoka leo,umpe Yesu maisha yako,achana na dhambi hiyo ya kuharibu wasichana.
Kumbuka,"mshahara wa dhambi ni mauti"@Mashaxizo
I'm very honest here.......sipendi tabia ya uzinzi na uasherati.