Be careful with my heart

Be careful with my heart

Yaani Wanapenda Kucheza Na Akili Za Watazamaji.. Hawapo Active Kila Tamthilia Watakayoonyesha Lazima Waikatize Bila Hata Kujua Ndivyo Wanavyopoteza Watazamaji Wa Chanel Yao! Kwanini Wacjifunze Kwa Chanel Zingine Eg Citizen, Itv Even Tv1 Inawatupilia Mbali Na Ni Chanel Mpya! *tv Mnakera Na Soon Mtakuwa Kama Tbc1
 
Idd mubarak jamani Star tv kulikoni na hii tamdhilia kumetokea nini mbona haionyeshwi tena mwenye taharifa atujuze

Hii heading ingeandikwa kwa namna ya incorporate wider audience hata wale ambao hatuafuatiligi hizo tamthiliya ingekuwa poa zaidi. hebu fikiri haiuji hiyo tamthilia na unasoma hiyo heading :wacko::wacko:
 
Ok na wewe umechangia tumekuona una lingine zaidi ya hilo????

Back
Top Bottom