Idd mubarak jamani Star tv kulikoni na hii tamdhilia kumetokea nini mbona haionyeshwi tena mwenye taharifa atujuze
Hawaionyeshi halafu hawajatoa taarifa kwa nini wameacha kuionyesha.
Yani mie wamenikera hawajui tu.Ila atleast wananipoza na when your mine
Idd mubarak jamani Star tv kulikoni na hii tamdhilia kumetokea nini mbona haionyeshwi tena mwenye taharifa atujuze
Itakuwa waliilipia mpunga nusu nusu wakapewa few episodes. Sasa itakuwa wamekosa hela ya kununua episodes zinazofuata. Kama vipi jichangeni muwaboost wakailipie.
wamentibua hata mimi sijui wakojeIdd mubarak jamani Star tv kulikoni na hii tamdhilia kumetokea nini mbona haionyeshwi tena mwenye taharifa atujuze
inarushwa kwenye kisimbuzi chao
kila cku saa tatu usiku chanel 103 i
think...
Ina nini cha kuitamani hivyo? Tujuze nasi tuchunguliage.Idd mubarak jamani Star tv kulikoni na hii tamdhilia kumetokea nini mbona haionyeshwi tena mwenye taharifa atujuze
Ina maana wametudharau watu kila ikifika j4 wanatuacha macho juujuu kama vicheche nyambafu kabisa.