Be careful with my heart

Be careful with my heart

...wamepokea taarifa za mapinduzi toka kwa mabeki tatu dhidi ya waume za watu,so wameona bora lawama kuliko fedhea...

Exactly, naskia kuna baadhi ya wake za watu wanalalamika mabeki tatu wao kuwa kama Maya, mume akirudi tu utaskia "sir chief! sir chief!", mara awekewe chai hata kama hajaomba, majanga tu.. Star Tv wameimuvuzisha
 
wapenzi wa tamthiliya utawajua tu angalieni series kama wamegom
 
Idd mubarak jamani Star tv kulikoni na hii tamdhilia kumetokea nini mbona haionyeshwi tena mwenye taharifa atujuze

ئءؤركة ككييلسس
 
Exactly, naskia kuna baadhi ya wake za watu wanalalamika mabeki tatu wao kuwa kama Maya, mume akirudi tu utaskia "sir chief! sir chief!", mara awekewe chai hata kama hajaomba, majanga tu.. Star Tv wameimuvuzisha

Duuu hilo tu ndio waache kuonyesha hii itakuwa mupya ni mapicha mangapi mabovu huwa wanaonyesha mbona hao mahouse girl kuchukua waume za watu ilikuwa kitambo tu inategemea na tabia ya mtu bana hakuna kitu kama hicho hata ile ya mara clara kuna kipindi ilifika patamu wakakaa wiki mbili bila kuionyesha tushawazoea .
 
inarushwa kwenye kisimbuzi chao kila cku saa tatu usiku chanel 103 i think...

Wewe umechanganya mambo, itakayorushwa huko ni ile nyingine ambayo
ilioneshwa hapo hapo Star TV ikaisha, siyo hii. After all sidhani kama tayari
wameshaanza kuionesha maana kwa sasa wanaitangaza tu...
 
walitangaza haitokwepo ila ingeendelea wiki iliyopita lakini sivyo!!
 
nina hakika ya kurushwa kwenye simbuz chao ila sina hakika ni chanel namba ngapi... niliona Tangazo lao

Mkuu hii ni ile ya Mara na Clara ambayo ni marudio, wataanza kuionyesha kwenye king'amuzi chao!
 
Exactly, naskia kuna baadhi ya wake za watu wanalalamika mabeki tatu wao kuwa kama Maya, mume akirudi tu utaskia "sir chief! sir chief!", mara awekewe chai hata kama hajaomba, majanga tu.. Star Tv wameimuvuzisha

hapana
star tv wanakuaga na tendency ya kukatisha tamthilia kila ikifika karibu na mwisho inaweza chukua wiki mbili hadi mwezi ila wataionyesha may b kuanzia agosti
 
Back
Top Bottom