Be a gentleman, vingine viache vipite

Be a gentleman, vingine viache vipite

kiroka

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
371
Reaction score
1,900
Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.

Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.

Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.

Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.

Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.
 
Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite

Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.

Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.

Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.

Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.
Bahati mbaya sina vocha, ningekupunguzia kidogo uandike mengi zaidi. Umenena maneno mazito sana, watoto nao wana mitego sana lakini ukiwaza kichwani mipango na hasara zake hao viumbe daaaah!!!✍️
 
Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.

Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.

Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.

Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.

Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.
Well said mkuu.
 
walau leo nimekutana na mtu wa tofauti jf, hongera sana umenena vyema mkuu
Wanawake mkitoa papuchi mnaonaga kama mmetoa pesa nyingi sana, sijui kwanini, kwani mwanaume akikuomba ngono, raha si mnapata wote, tena na hela/misaada unaotaka anakupa juu, mm mwanamke akinipa papuchi na hela mbona bingo hio, au niende mahali kuomba kazi halafu nikute mwajiri ni mwanamke, hlf sharti la kupata kazi ni mpaka nimlale, mbona ni poa hata asiponipa io kazi, wanawake sijui mkoje mkiombwa uchi mnaona kama mnafilisiwa na mnaonewa Leejay49 Lenie
 
Aisee
 
Moja ya alama ya Ukomavu wa akili ni pamoja na kuwa na uwezo wa kujidhibiti na kuyadhibiti maungo yako........

Unatakiwa upambane na msukumo wa nafsi ndani ya hekalu la mwili wako kabla hata ya maungo yako kuanza kuchukua hatua.....ni jambo gumu kwa watumwa wa nafsi lakini ni jambo jepesi Kwa waliotanguliza akili........

Ukiona rafiki yako wa kiume ni mtu namna hiyo yafaa umuepuke ameondokwa na haya kwa kuwa ameshaachana na matumizi ya akili zake na ametawaliwa na nafsi.....

Hayo unayoyaona anayafanya kwa mabinti za wengine anaweza kuyafanya hata kwa mkeo au hata kwa mabinti zako........

Matumizi mazuri ya akili ni pamoja na kuchagua marafiki sahihi maishani mwako!!
 
Wanawake mkitoa papuchi mnaonaga kama mmetoa pesa nyingi sana, sijui kwanini, kwani mwanaume akikuomba ngono, raha si mnapata wote, tena na hela/misaada unaotaka anakupa juu, mm mwanamke akinipa papuchi na hela mbona bingo hio, au niende mahali kuomba kazi halafu nikute mwajiri ni mwanamke, hlf sharti la kupata kazi ni mpaka nimlale, mbona ni poa hata asiponipa io kazi, wanawake sijui mkoje mkiombwa uchi mnaona kama mnafilisiwa na mnaonewa Leejay49 Lenie
sio kufilisiwa. hatutaki kupoteza utu, Kwani lazima nikulipe ngono ndo uniajiri? si bora hata uniambie utanikata ela kwenye mshahara wa kwanza au kitu kingne 😌
 
Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.

Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.

Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.

Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.

Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.
WAAMBIE KWA SAUTI KUBWA UJUMBE UWAFIKIE HAO VIVURUGE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom