Elections 2010 BBC wasema JK Anatarajiwa kushinda kwa kishindo!

Jamani mkimpa Slaa,cjui wapi atatoa wawekezaji,mmh jamani angalieni Slaa anaudini sana,mkimpa kura mjue nchi itakuwa ya Mayahudi n Maroma,aha ndio maana sera za CHADEMA N CUF HURUHUSIWI KUWA NA MKE,JAMANI MSIJE MKAMPA NCHI MHUNI AITAWALE
KWELI MUHUNI JK KATU HATUMPI NCHI TENA. Labda aichukue tena kwa kuchakachua.
 
Ushindi wa Dk slaa,ni lazima wote walioipigia ccm ni jamii ya mafisadi,na watu wa binafsi,wachoyo.wenye kujali nafsi zao.kwa maana hii matokeo ya kushindwa kwao hayata vumilika,watafany
 
Hivi ni nani aliyekudanganya kuwa wanaohudhuria mikutano ya Dr wa kweli hawajajiandikisha kupiga kura? Unajidanganya, Dr Slaa sio Mrema wa 1995. Hiki ni kitu tofauti kabisa. HATUDANGANYIKI

Taarifa za kuvunjika (breaking news) ni kwamba vijana wametia fora! Safi sana. Najua wataiba lakini ni hatari kuiba kupita kiwango nao wanajua
 
Fundisho lipo, are no longer interested kwenye ahadi hewa. This time siyo kwa kishindo maana kura wanazigawana at any cost
 
Huyu anayesema kuwa wengi wa waliohudhuria mikutano ya Dr.Slaa hakujiandikisha alifanya utafiti huo au ni kada wa CCM anayefuata mkumbo?!!BBC wanaogoa Slaa akiichukua nchi nchi yao haitainyonya Tanzania tena!
 
Huyu anayesema kuwa wengi wa waliohudhuria mikutano ya Dr.Slaa hakujiandikisha alifanya utafiti huo au ni kada wa CCM anayefuata mkumbo?!!BBC wanaogoa Slaa akiichukua nchi nchi yao haitainyonya Tanzania tena!

Haswaaaaaa, it is about ukoloni na unyonyaji kwa kutumia jina la demokrasia
 
Ukishangaa ya bbc usiisahau ya dw radio ambao nao tarehe 28th october 2010 habari yao iliyo lead ni , kikwete anashinda halafu mpinzani mkuu wake ni lipumba. Nimesoma mass communication nafahamu ni jinsi gani safu ya uhariri inavyoweza haribu uhalisia habari zao kwa kushindwa fuata maadili kwa kuonyesha upendeleo wa wazi usio na uhalisia wa mambo na utafiti yakinifu. Mungu ndie atakayetoa hukumu hii kwa wote wenye kukosa maadili na kupotosha ukweli.
 
Yaani maneno matatu ya kiingereza makosa kibao (to congratulations or to congratulate?). Matatizo ya shule za kata!

thanks Dreamer u have seen that, low minded people are JK supporters, that is almost about all CCM followers, tatizo SHULEEEEEEEEEEE
 
BBC wametangaza eti matokeo ya awali yataamza kutangazwa jumatano. Hawajui kwamba matokeo ya awali tayari, na kwamba Zanzibar tayari tume imeshaanza kutangaza matokeo rasmi? Au hawajapemdezwa na maamuzi ya wananchi?
 
matokeo bado wana payuka tu haoo bbc kwanini wasifanye uchunguzi


Dwork1: Wewe na wengine msishangae. Umewahi kujiuliza ni kwanini hizi redio za kimataifa hazina hata matangazo ya biashara lakini zinaendelea kuwepo duniani? Jibu: ILI KUENDELEZA UKOLONI MAMBO LEO. Ndiyo maana Babu yetu Mugabe kashawatimulia mbali. Heri kuwa maskini uliye huru kuliko kuwa mtuma mwenye vijisenti
 
Back
Top Bottom