Elections 2010 BBC wasema JK Anatarajiwa kushinda kwa kishindo!

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.

Hii inaashiria nchi zinazotunyonya kupitia kinachodaiwa uwekezaji sasa wanahofia Slaa akiingia madarakani itakuwa mwisho wao kuendelea kutunyonya.
 
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.
 
nami nimewasikia, ila mwishoni huyu mkenya Hasan Mhelela amempiga kidongo kwamba alienda na maswali yake akarudi nayo bila kuuliza!! kwa ujumla, bbc waandishi waloletwa nahisi walipitia kwanza ikulu...
 
May I be the first to Congratulations Kikwete kwa kushinda kwa kishindo:nono::doh:
 
hawakuwa na sababu za maana! nakumbuka siku moja Abdalah Majura alikuwa akimsifu sana shehe Yahya kuwa ndiye aliyemtabiria kupata kazi BBC! Sintashangaa kusikia huo utabiri wameupata pia kwa shehe Yahya!
 
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.

Una ushahidi gani usio na mashaka kuwa hawakujiandikisha kupiga kura? Usilete nadharia ambazo huna uwezo wa kuthibitisha bila mashaka.
 
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.

Hapo ndipo kina makamba wanapojidanganya, msifikiri yale ya Mrema 1995, ndo ya mwaka huu; usisau wengi walijiandikisha sababu kulikuwa na uvumi kuwa kadi za kura ndo zingetumika kwenye vyeti vya uraia.
 
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.

we umejuaje?au mnataka kuitumia hiyo kama sababu ktk mpango wenu wa kuchakachua matokeo?acha kudanganya watu bwana.
 
Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.

Hii inaashiria nchi zinazotunyonya kupitia kinachodaiwa uwekezaji sasa wanahofia Slaa akiingia madarakani itakuwa mwisho wao kuendelea kutunyonya.

BBC is one of the international instrument for UKOLONI MAMBO LEO. It will support everything that has maslahi to UK! Kama maamuzi yangu ni JK, au Slaa, hawawezi kunibadilisha. Target yao ni kwa babu yangu ambaye naye ameshafanya maamuzi yake mudamrefu.
 
Msisahau serikali ilipanga kuchapa karatasi za kura Hapa tz lakini dakika za mwisho na katika mazingira yasiyo wazi zilichapwa Uingereza. Kuna uvumi kwamba ukiweka vema kwa dr Slaa inafutika baada ya muda mfupi na kuhamia kwa kikwete. Kwa hiyo inawezekana BBC wanaandaa wananchi kisaikolojia. Kwamba kama kuna hujuma za kura ni ushirika kati ya serikali za Uingereza na tz
 
mjiandie kuchukua matokeo yenu, kuliko kuishi kwa kudhani wakati goma liko uwanjani. msijekutamani matokeo yasiyo yenu kwa hisia au mazoea.
 
May I be the first to Congratulations Kikwete kwa kushinda kwa kishindo:nono::doh:

Yaani maneno matatu ya kiingereza makosa kibao (to congratulations or to congratulate?). Matatizo ya shule za kata!
 
Inajulikana wazi kama Kikwete anashinda ,Je unajua kuwa wengi wa wanaohudhuria mikutano ya upinzani hawakujiandikishaa ? Hii ni hasara na ni kosa kwa vyama vya upinzani kutoweza kuwashawishi wananchi katika hekaheka za kujiandikisha ,hasara ndio hii.
una ushahidi wewe kwamba hawajajiandikisha? au ndio wale wale walotumwa kuandaa kuiba kura, traitor!!! go to hell
 
Wewe mwiba nini kinakufanya udhani kwamba, walojiandikisha kupiga kura ni kwa ajili ya kupigia kura ccm (we have got a problem here), acha ushabiki usiokusaidia kitu, naomba kuuliza hivi mnachompendea mkwere ni nini, kuwataja ni beyonce kwenye mikutano yake ya kuchonga?
 
zanzibar anayeshinda seif - cuf,tanzania slaa- chadema......maneno ya polojo na kununua vyombo vya habari ni kazi bure...hao hao waandishi walionunuliwa wanampatia kula dr.slaa....kura si siri yao...
 
Wala msipate shida ndugu yangu, kuna mwandishi mmoja wa radio maarufu kutoka unyamwezini alimwomba salva kuhudhuria kile kilchoitwa mdahalo, akaambiwa ruksa lakini asiulize swali, hiyo imekaa vipi?
 
NASKILIZA bbC 89.0 KIKEKE IS VERY BIASED SHUTTING THE GUEST WHENEVER HE SPEAKS AND DEFENDING jk... KIKEKE IS IRITATING.. surely lazima niwandikie BBC through that complain link

anatia kinyaa
 
ukweli nikuwa mshkaji atashinda ila kuna kalesson lazma atakuwa amepata, kikubwa hapa ni kuwa CCM wanajiandaa kusherehekea ushindi ambao kwa mara yakwanza wameutolea jasho. i like this kwa watanzania hawana muda wakukumbuka machungu kwa it is very shame to us:nono: . tunatakiwa kuhakikisha kuwa bunge letu lina nguvu lets focus huko ili kuwa na mchanyiko utakao leta mseto bora wa kuzuia ukiritimba wa serikali.
 
Back
Top Bottom