Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,804
- 1,866
Wametangaza katika taarifa Yao ya habari saa 12 asubuhi. Wanadai sababu za ushindi wake ni mafanokio yake katika kukuza uchumi.
Hii inaashiria nchi zinazotunyonya kupitia kinachodaiwa uwekezaji sasa wanahofia Slaa akiingia madarakani itakuwa mwisho wao kuendelea kutunyonya.
Huo ndio ukweli, nyie mnatapatapa.
Binafsi nimefanya utafiti na matokeo nimeyatoa hapa JF. Angalia Matokeo katika Thread yangu, ndio utajua BBC wanamaanisha nini.
Hata hivyo tunawashukuru kwa kushiriki ktk kampeni. Mungu akipenda tutakutana tena 2015.