BBC Swahili(TV) wanakwepa habari za siasa Tanzania,je wanatumika na CCM?

papaa musofe

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
842
1,475
BBC TV ni mabingwa wa kutoa habari za siasa kuhusu Kenya, si Tanzania

Matukio makubwa hutokea Tanzania lakini hawa akina Salim Kikeke huwa hawahangaiki kuzirusha

Je hawa ni mapandikizi wa serikali na CCM huko BBC?

Kazi kubwa wanayofanya ni kutafsiri habari za kingereza kuja kwenye kiswahili

Je hawa wana maelekezo maalum kutoka serikali ya Tanzania kuhusu habari hasa za wapinzani?
 
Mara nyingi wakiwatafuta wasemaji wa serikali pia hua wanakimbia kimbia nakumbuka kuna siku Nape aliwekwa kikaangoni DW na wapinzani alikata simu live.
 
BBC TV ni mabingwa wa kutoa habari za siasa kuhusu kenya,si Tanzani,

Matukio makubwa hutokea Tanzania lakini hawa akina Salim Kikeke huwa hawahangaiki kuzirusha

Je hawa ni mapandikizi wa serikali na ccm huko BBC?

Kazi kubwa qanayofanya ni kutafsiri habari za kingereza kuja kwenye kiswahili

Je hawa wana maelekezo maalum kutoka serikali ya Tanzania kuhusu habari hasa za wapinzani?
Hawa jamaa wanaona ila kwasababu ya maslahi mapana, Hawaruhusiwi kurusha propagandaz especially Enye mtafaruku na Serikali yoyote ile, hata kule USA nilikuja gundua hawamshambulii Trump kama wafanyavyo CNN.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BBC TV ni mabingwa wa kutoa habari za siasa kuhusu kenya,si Tanzani,

Matukio makubwa hutokea Tanzania lakini hawa akina Salim Kikeke huwa hawahangaiki kuzirusha

Je hawa ni mapandikizi wa serikali na ccm huko BBC?

Kazi kubwa qanayofanya ni kutafsiri habari za kingereza kuja kwenye kiswahili

Je hawa wana maelekezo maalum kutoka serikali ya Tanzania kuhusu habari hasa za wapinzani?
Pole ulitegemea habari ya Lisu?
Mmezoea sauti ya udaku ya Ujerumani!
BBC ni facts tu,porojo zenu hazina nafasi
 
BBC TV ni mabingwa wa kutoa habari za siasa kuhusu kenya,si Tanzani,

Matukio makubwa hutokea Tanzania lakini hawa akina Salim Kikeke huwa hawahangaiki kuzirusha

Je hawa ni mapandikizi wa serikali na ccm huko BBC?

Kazi kubwa qanayofanya ni kutafsiri habari za kingereza kuja kwenye kiswahili

Je hawa wana maelekezo maalum kutoka serikali ya Tanzania kuhusu habari hasa za wapinzani?

Mnafikiri BBC ni sawa na mwananchi au Tanzania Daima?
 
BBC TV ni mabingwa wa kutoa habari za siasa kuhusu kenya,si Tanzani,

Matukio makubwa hutokea Tanzania lakini hawa akina Salim Kikeke huwa hawahangaiki kuzirusha

Je hawa ni mapandikizi wa serikali na ccm huko BBC?

Kazi kubwa qanayofanya ni kutafsiri habari za kingereza kuja kwenye kiswahili

Je hawa wana maelekezo maalum kutoka serikali ya Tanzania kuhusu habari hasa za wapinzani?
Mwambieni Mashinji Chadema muanzishe televisheni yenu. Sio kuanza kuwapangia BBC warushe propaganda za Ufipa. Mbowe akichangiwa mihela anakwenda kutumbua Nairobi.
 
Baada ya BBC mtageukia CNN, baadae FOX na mwisho wa siku mtawehuka.
 
Back
Top Bottom