We mleta mada una jitambua kweli au u ccm ndo unakuponza 6ta acha kuisikiliza na kuitazama kwani ni ukweli m2pu acha ccm malofa/wapumbavu kwakushindwa kuisuport ccm tuwa onyeshe ulofa wetu 25oct
Washenzi hawa wakenya,bbc swahili wameifanya kijiwe,na kupendelea kenya,wakati mie naona wasikilizaji wengi wapo Tanzania,na baadhi ya watanzania waliopo bbc ni kama mananga,hawana uzalendo,yaani wakenya wasiojua hata kiswahili ndo wanawaburuza kwa kupendelea habari za kenya,kweli mkuu wanakera sana.
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Kwani wanaongopa kuwa sh haijashuka?sh ya Tz unaweza kuilinganisha na sh ya Kenya?leo hii Kenya wana treni ya mwendo kasi,hapa Tanzania ndio tumeiua kabisa reli yetu ya kati alafu unawalilia BBC?BBC siyo kama TBC
Mkuu ukiangalia kasi ya wakenya katika kutengeneza barabara za kisasa na fly overs ipo juu sana...huwezi kulinganisha na TZ. Bado umeme kukatika Kenya ni kitu cha ajabu na lazima kuwe na sababu ya msingi sana na wananchi waijue sio kama hapa kwetu.
sasa ulitaka waongee uongo ndiyo mambo mabaya yote yapo tz ,,, na sasa tunataka mabadiliko
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Mtoa hoja, ulitaka tusifiwe kwa uzembe? Kama tumejiweka kuwa kielelezo cha udhaifu kwenye kila sekta kosa Lao liko wapi?
kuna ukwel lakini, pole!