BBC News: No internet for Singapore public servants

BBC News: No internet for Singapore public servants

Mdau

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Posts
1,789
Reaction score
477
Public servants in Singapore will be blocked from accessing the internet on work computers from May next year.

The moves aims to plug "potential leaks from work e-mails and shared documents amid heightened security threats," the Straits Times newspaper said.

Officials said employees across government would also be barred from forwarding any work-related information to personal emails.

Singaporeans have responded with shock and scepticism online.

Some people thought the move contradicted Singapore's much-promoted Smart Nation technology initiative.

Others thought the suggestion that the measure could also apply to teachers, who do not deal with much sensitive information, was extreme.

More > No internet for Singapore public servants - BBC News
 
JPM tuletee na huku
 
No internet for Singapore public servants - No internet for Singapore public servants - BBC News

Kuna vilaza hapa kama Baregu, Lisu, Zito &Co. watakwambia Singapore hakuna demokrasia na fashist wakati ni nchi ya pili kwa utajili Duniani, imekwenda ktk third world na ndani ya miaka 50 inazidi nchi nyingi sana za Wazungu na Singapore inaongozwa na Chama kimoja tangu Uhuru!
 
lumumba kwa matusi, mna A+
 
Sasa kama kazi zinafanyika kwa kutuma email hapo inakua je? Na zaid unaweza ukazuia internet mpaka mawasiliano ya simu ila watu wakafika ofisin wakasoma magazeti kukawa asubuh kukawa jion siku zinasoma. Kinachotakiwa ni commitment ya kazi. People who are willing to work.
Unaweza mpeleka ng'ombe mtoni kwa lazima ila huwez mlazimisha kunywa maji....
 
Kwa hiyo wewe una akili na uelewa klk Serikali ya Singapore? Nchi ya pili kwa Utajili Duniani, nchi ambayo hakuna masikini kama tuwajuavyo masikini kwetu, nchi ambayo kila Raia ana haki ya kula, makazi, na matibabu Kikatiba, wewe unaweza kuwa na uelewa kuhusu uamuzi wao klk wao wenyewe?
 
wabongo ndio tulivyo.. unafikiri wamekurupuka tu kuzuia hiyo internet.. wana plan a, b, c, d na e

Kwa hiyo wewe una akili na uelewa klk Serikali ya Singapore? Nchi ya pili kwa Utajili Duniani, nchi ambayo hakuna masikini kama tuwajuavyo maikini kwetu, nchi ambayo kila Raia ana haki ya kula, makazi, na matibabu Kikatiba, wewe unaweza kuwa na uelewa kuhusu uamuzi wao klk wao wenyewe?
 
Kwa hiyo wewe una akili na uelewa klk Serikali ya Singapore? Nchi ya pili kwa Utajili Duniani, nchi ambayo hakuna masikini kama tuwajuavyo masikini kwetu, nchi ambayo kila Raia ana haki ya kula, makazi, na matibabu Kikatiba, wewe unaweza kuwa na uelewa kuhusu uamuzi wao klk wao wenyewe?
data za wapi hizo??? mbona unauonyesha ukilaza wako hadharani?
 
Kwa hiyo wewe una akili na uelewa klk Serikali ya Singapore? Nchi ya pili kwa Utajili Duniani, nchi ambayo hakuna masikini kama tuwajuavyo masikini kwetu, nchi ambayo kila Raia ana haki ya kula, makazi, na matibabu Kikatiba, wewe unaweza kuwa na uelewa kuhusu uamuzi wao klk wao wenyewe?
Hiv mkuu wapi kwenye comment yangu nimesema ninaakili kuliko serekali ya Singapore? Usicream mkuu, kuna uwezekano mkubwa sana watu wao wako commited na work hata kabla internet haijazimwa ndio maana wakafika waliko. Jaribu kuelewa mawazo ya mtu na sio kuniwekea maneno ambayo sijasema
 
Mimi nasema hivi..watanzania tuendelee kupiga domo,kujisifu na kubisha vitu vilivyoenda shule wakati sisi ni masikini wa kutupa...Mtu anakuja hapa eti anakosoa serikali ya SINGAPORE, okay hapo ni nani mwenye akili sasa kati ya serikali ya Singapore na mtanzania mbishi kazi yake kuweka baraza na kuongea pumba muda wote??😀😀 Je tutawashauri vipi hao watu wakatuelewa ambao ni nchi ya pili kwa utajiri duniani?
 
Back
Top Bottom