Kwani hizi habari ni za uongo au ukweli tuanzie hapo?Hivi hiki chombo cha habari cha Waangalican hakina habari za kuandika kuhusu dini duniani tofauti na za kanisa katoliki.
Hiki chombo sioni kikiandika kuhusu angelican ambayo ndiyo maskani yake kabisa, au Buddha, Uislam, Tao au hata Zen n.k.
Madhehebu ya dini ni mengi tu duniani lakini jamaa kutwa wamekomaa na Katoliki tu.
Itafikia hatua hata Padre au askofu akikohoa wakati wa ibada wataandika.
Duniani kuna Madhehebu zaidi ya 100, ila jamaa wamekomaa na katoliki tu.
BBC si watoe msimamo wa madhehebu mengine kuhusu hayo matakataka.
Kanisa katoliki haliwezi kubariki hayo matakataka.
Hapo kwenye biblia pametajwa neno Catholic ? Kama hapajatajwa bado reference yako inaweza kuwa na shakaKanisa la kweli ni Katoliki pekee. Shetani anahangaika sana kuliangusha, lakini kamwe hataweza. Mathayo 16:18
Nini maana ya Catholicism?Hapo kwenye biblia pametajwa neno Catholic ? Kama hapajatajwa bado reference yako inaweza kuwa na shaka
Jibu swali lililo ulizwa.Nini maana ya Catholicism?
Ninacheka sana jinsi hii media inavyokomaa na kanisa katoliki [emoji1787]Kanisa la kweli ni Katoliki pekee. Shetani anahangaika sana kuliangusha, lakini kamwe hataweza. Mathayo 16:18
Nakubaliana na ww, vipi huko kwingine akuongozwi na mwanadamu, hakuna walakini au mapungufu? Mbona hawaandiki.Huwezi kupangia media chakuandika. Media huzingatia walaji wao. Tatizo lako unaamini taasisi inayoongozwa na Mwanadamu kuwa haiwezi kukosea. Hakuna kabisa ambalo halina madhaifu duniani kwasababu kiongozi akishakuwa Mwanadamu Kuna Mambo mengi
Sasa hata maana ya Ukatoliki hauijui, kuna haja gani ya kujadiliana jambo usilolijua? Kajielimishe kwanza ndiposa urudi tujadili.Jibu swali lililo ulizwa.
Inawezekana maana taarifa zao juu ya hayo matakataka wanaandika kimkakati sana.BBC wanapenda sana ushoga
Hakika mkuu wako kupromote ushogaInawezekana maana taarifa zao juu ya hayo matakataka wanaandika kimkakati sana.