Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,661
- 140,288
Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.Tanzania's President John Magufuli has said he prefers Chinese to Western aid as it comes with fewer conditions.
Mr Maugufuli has been under intense pressure from Western nations over his controversial policies.
On 15 November, Denmark said it had suspended $9.8m (£7.5m) in aid because of "unacceptable homophobic comments" by a Tanzanian politician.
China has become a major investor in Africa, challenging Western influence on the continent.
It has promised to spend $60bn in investment, aid and loans in Africa over the next three years, mostly in infrastructure development.
"The thing that makes you happy about their aid is that it is not tied to any conditions. When they decide to give you, they just give you," Mr Magufuli said.
Chukueni ya wachina muuze nchi kama ZambiaKwahili namuunga mkono John, mtu anakupa msaada na masimango kibao, misaada si afya kwa Taifa ila wanatufanya mazuzu mno kwa kutupangia lifestyle
Ushoga Na usagaji ni utu?Chinese bado wapo wakiamini definition ya uchumi ya Adam Smith, ...." Wealth of the nation..." Muhimu upate pesa bila kujali UTU na mbinu. Marafiki JPM, Western wanaamini Classical Sir.Martial ....Making wealth and human behaviour, utajiri na UTU ktk kuupata na modern definition demand and supply
Ruksa wachina wachukue kuliko nchi kuchukuliwa Na Mashoga Na wasagajiChukueni ya wachina muuze nchi kama Zambia
Wazungu wanachangia bajeti ya Taifa duni la Tanzania kwa 40% , na wakati huohuo utekelezaji wa bajeti ya nchi hiyo duni ni 40% , maana yake ni kwamba wakiondoka bajeti ya Taifa hilo duni itakuwa 0%Haya ndio mambo akina sisi tunayompogezea rais Magufuli, asikubali kupangiwa cha kusema eti tuu kwa kuogopa kunyimwa mikopo na misaada yenye masharti.
Yes sisi ni masikini as beggars as we are lakini sisi ni masikini jeuri, we are not that poor
Je, Tanzania ni masikini hivi kuendelea kupokea mikopo na misaada yenye masharti kinyume cha uhuru wetu?, au tukatae kama Nyerere?. - JamiiForums
Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa - JamiiForums
P
Hata hao Eu wanakupa bure? Hakuna mikopo yenye afya kwa Taifa ila siyo unapewa huku unasimangwaChukueni ya wachina muuze nchi kama Zambia
Ruksa wachina wachukue kuliko nchi kuchukuliwa Na Mashoga Na wasagaji
Unataka alambe miguu ya wazungu sio? Subiri nyie vibaraka mshike dola hayo mambo yatawezekana, lakini sio sasa.Huyu jamaa kwa kujiingelea hovyohovyo, utafikiri Jafari wa pale kijiwe cha samaki kichwa
Kusimangwa kwingine no no no kuwa kubali ushoga,usagaji Na ndoa ya jinsia moja ndio nikupe no no no no.Ni matusi makubwa mno kwa mwafrikaHata hao Eu wanakupa bure? Hakuna mikopo yenye afya kwa Taifa ila siyo unapewa huku unasimangwa
Ekizakitili mkuuKusimangwa kwingine no no no kuwa kubali ushoga,usagaji Na ndoa ya jinsia moja ndio nikupe no no no no.Ni matusi makubwa mno kwa mwafrika