Tukisema MAGAMBA vimeo hamsikii ... ngoja tuendelee kuaibika!!
Jaribu kuangalia whats common between those three.
1. Tribalism.
2. ICC-prone.
3. Hated by the West, not really accepted by the East.
4. Mombasa port.
5. AFCOM (As a source of forex, and a way of brown nosing the US just to pacify their people's outcry).
Baada ya hapo, unaweza labda kujua kwanini wamemside track JK.
Jamani Rais kikwete hana shida tatizo niwatendaji wake na kuhusu kwenda kwenye kikao jamani tambueni kuwa Rais naye anapangiwa ratiba huwa hajiendei tu kama ww unavyotoka nyumbani kwako ok na anaongozwa na sheria pia kuna gharama kulingana huwa haendi peke yake.
As long as you show me the facts.
Tanzania is comparatively stable and peaceful, that is known.
Also, the potential that she holds as the next energy giant sitting on a very strategic point, geographically and militarily, attracts the world's major players.
Tanzania can fight for Palestine openly,support Assad, support Iran, Zimbabwe and have brotherly relations with China, reject AFRICOM and still have respect from US, Japan and the rest of the Western block.
Those three durangatans can kiss all the a$$ in the western block, and still looked down as the puppets of western bible belt lobbysts.(you are mad because CDM is falling on the same category) and nothing else.
No one in the International community listen to those pinheads anymore.
Huyu uhuru hawajui hawa watusi Museven na Kagame wakimtenda asije kulialia hapa!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Jamani Rais kikwete hana shida tatizo niwatendaji wake na kuhusu kwenda kwenye kikao jamani tambueni kuwa Rais naye anapangiwa ratiba huwa hajiendei tu kama ww unavyotoka nyumbani kwako ok na anaongozwa na sheria pia kuna gharama kulingana huwa haendi peke yake.
Unaongelea upuuzi usio na maana yeyote kwa sababu umepumbazwa na mahaba kwa watu ambao nao hawana la maana pia.Unasahau What's COMMON of JAKAYA KIKWETE are all what you Mension na anafanya kibias... Pro-ISLAM angalia hamkemei NAPE NNAUYE anapoongelea CHADEMA ni CHAMA cha WACHAGGA; Kama NYERERE angesikia hivyo toka kwa KIONGOZI wake NAPE NNAUYE na VIMADA wake Wangekuwa Mashambani wanalima KATANI
Umesahau yeye ndio Mwanzilishi wa UBAGUZI NCHINI KWETU hadi sasa hatuelewani... Sasa Unadhani na kujikosha kuwa MOI; MUSEVENI na KAGAME ndio wabaya -- CHUNGA angalia unakotoka na unakokwenda... MDOMO MCHUNGU zaidi ya pilipili...
Achana na AFCOM ongelea ya Maana UDINI UKABILA ndio TATIZO
Kweli tupu! Sijui kwa nini madikteta hawa wanasifiwa eneo hili!sipendezwi na uongozi wa kikwete , ila naamini yeye ni bora kuliko kagame na museveni
Kwa mawazo kama haya hatuwezi kufika we unadhani Marekani wana Rafiki? Fuatilia urafiki wao na Osama,Sadam Hussein,Gadafi,Mubarak,Mobutu na wengineo uliishia wapi, Marekani wanakutumia wakimaliza wanakutema usifikiri Obama haendi Kenya kisa hawapendi hataki tu kuwaibia walichonacho,Marekani wanakimbizana na spidi ya China kuwekeza Afrika kwahyo sio fahari sana mkuu.
Ninadhani ni sahihi kabisa kwa hawa jamaa kuanzisha mishemishe zao za kusaka ma hela,kwani SISI WATANZANIA tunawaletea kauzibe sana...
Watanzania AS WHOLE tuko too inquisitive,too precatious,too spared,too warryful,too non risk takers,na KUBWA zaidi hatuko AGRESSIVE katika kujifunza ni faida gani tunaweza tupate "OUT" of the EAC....ndio maana SISI WATANZANIA hatutaki VIONGOZI WETU wawe POSITIVE kuhusu Muungano wa EAC.....Sasa tunataka hawea majirani zetu watubembelezeje?
Nimekwenda Uganda mwaka jana...pia nilikuwa Kenya
Ukiwasikiliza Waganda,wao wanasema kwamba "The EAC Active phase lags behind bse of the "cold war" btn Kenya anda Tanzania
Ukiwasikiliza Wakenya,wao wanasema "The EAC Active phase lags behind bse of Tanzanians being "too negative" about Kenyans....
Ukiwasikiliza Wanyarwanda,Waburundi wao wanasema "In Tanzania there are lot of "missed opportunities" where one can make a lot of money!
Nani Mtanzania hapa mawazoni mwake "anawachukulia" poa Wakenya?
Makelele yetu wenyewe ndio yanayofanya hawa jamaa waone sie "tunawachelewesha"....
All in all...hili ndilo tulilolitaka....Watanzania tumejawa na Roho ya Chuki now a days....Roho ya wivu.....Roho ya kulalamika....Roho ya sijui aina gani...
Hebu fikiria Obama anakuja Nchini,lakini karibu asilimia kubwa ya Watanzania "wamejawa" na matamko,maongezi na kauli za "WIVU,ULALAMISHI,na CHUKI"......Hivi mnadhani siku ile Balzi wa Marekani alipojibu kwamba "Marekani ina resources nyingi sana na si kwamba wanakuja huku kwa ajili ya Natural resources zenu" alitoa hilo jibu ghafla?ni kwamba hilo jibu tayari alikuwa nalo hata kabla,tokana na kusoma "malalamishi" yenu toka sources mbalimbali....
Hata hawa jamaa KKK wamekuwa wakijua "misimamo" ya Watanzania,ndio maana wanaona "wawaache" na ma "wivu" yenu.....Halafu mnaanza kujifanya hamuelewi sababu ni kwa nini wanaweza "kuwatupa" kule!...
Na bado.....kama hatutabadilika,watatuacha.....na kile mnachokitafuta wengi wenu mtakipata
Nakubaliana na conclusion yako.1,2 sina hakika na hizo ila kweli hizo tatu za mwisho zinaweza kuwa common interests kwa hawa jamaa. Swala la M23 linaweza kuwaunganisha pia hawa watu. But also this is not healthy for our country tungekuwa na inteligensia ya nchi (na sio ya CCM kama ilivyo sasa) hii ilikuwa ni assignment muhimu kwao. Wamejadili nini na lengo la kikao hicho hasa ilikuwa ni nini?