BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

Sijui kama mradi wetu wa reli na Rwanda utasalimika, maana moja ya maamuzi ni Rwanda kujiunga katika reli ya Kenya na Uganda!
Wamesubiri tufanye maamuzi tukazembea. Wao wamo mbioni. Badala ya reli ya kati sasa tunachangamkia reli ya kupasua serengeti.
 
Tanzania tuna kila kitu hapa EAC, kasoro uongozi madhubuti.

pamoja na muungano wao wa kinafiki lakini bado wanaimezea mate Tanzania.!!!

Tunahitaji tu uongozi madhubuti kuvunja u kkk wao wa kinafiki.!!!
 
Sijui kama mradi wetu wa reli na Rwanda utasalimika, maana moja ya maamuzi ni Rwanda kujiunga katika reli ya Kenya na Uganda!

Jingine ni Uganda kujenga bomba la mafuta kutoka mombasa. Upo hapo?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Watz tunaonekana dhaifu coz Serikali na TISS wapo bussy wanawashughulikia CDM na JK anakesha hewani km popo kutafuta misaada duniani!
 
Maskini weweeeee kama vile namuona Baba nanihii anavyochekacheka tu
 
Wadau hii imekaaje?
Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waanzisha umoja wao KKK wamtenga Kikwete.
Marais wa kenya, uganda na Rwanda wameunda umoja wao wanajiita KKK eti Kagame, Kaguta na Kenyata.
Huu mshikamano wa hawa jamaa si kuua kabisa jumuia ya Afrika Mashariki? Na kwa nini ije wakati huu ambapo Kikwete ana bifu na Kagame?
Mpaka mtangazaji wa BBC akawa anahoji kwa nini wamemtenga Kikwete lkn wao wamesisitiza umoja wao ni wa Kiuchumi tu.

Kwa sababu siri kali yake iko bize kuidhibiti CDM mwaka wa 3 sasa. Halafu waliogopa kumwalika kwa sababu akiwa huko angeweza kupendekeza polisi wa huko nao waanze kupiga raia....
 
Hivi ni kweli M7 ni Mtutsi? Na wale JMK aliomshauri Kagame wazungumze ni kabila gani? Hakuna cha kuwatenganisha Rwanda na Uganda.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wadau hii imekaaje?
Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waanzisha umoja wao KKK wamtenga Kikwete.
Marais wa kenya, uganda na Rwanda wameunda umoja wao wanajiita KKK eti Kagame, Kaguta na Kenyata.
Huu mshikamano wa hawa jamaa si kuua kabisa jumuia ya Afrika Mashariki? Na kwa nini ije wakati huu ambapo Kikwete ana bifu na Kagame?
Mpaka mtangazaji wa BBC akawa anahoji kwa nini wamemtenga Kikwete lkn wao wamesisitiza umoja wao ni wa Kiuchumi tu.

Afadhali imekuwa hivi ili waTanganyika tuone udhaifu wa serikali yetu.

Si washaona jamaa ni longolongo nyingi na kuuza sura duniani! Maraisi wa wenzetu wanapiga kazi, wa kwetu ni kuzurura hovyo na kutokufanyia utekelezaji wa mipango wanayo kubaliana. Huku akiwaachia wachovu maamuzi makubwa ya serilkali watu wasio na uwezo.
 
Watu makini na nchi makini zinatambua Tanzania Tuma viongozi wapuuzi ambao wapo busy kulifisadi taifa na utajiri uliopo,Ni nchi zinazotaka kuiba Tu ndiozitaunga mkono matendo ya watawala wetu!!! Wanafanya taifa linadharaulika sana!!
 
Hawawezi kumualika kwan hana la kuongea nao....pia yuko busy na Raisi wa dunia ,kwa hiyo jamani muache kwanza apumzike...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
jk huwa anachekacheka tu wakati masela wako serious na issue za maendeleo, mabeberu wamemgeuza kuwa mr red carpet, hakuna anachojua zaidi ya kuchora sahihi yake kwenye mikataba ya kimangungo.
 
Sasa kama rais wenu anaishi uwanja wa ndege kuvizia leo nitue nchi gani ziara nayeye yeye na ziara haya ndio matokeo
 
Tanzania serikali iko bize sana na CHADEMA ...mambo ya maana haikumbuki!! Wewe fikiria Kagame anamjua hadi Mtikila na anajua tabia zake ....anafuatilia nyendo zake ha humu JF!!
JK yuko bize na chama ambacho kiko kisheria .....upeo utatoka wapi?? Anatutia aibu tu!!
 
Back
Top Bottom