BBC iliwahi kukosa habari!

BBC iliwahi kukosa habari!

Ukishaona mtu anakimbilia matusi ujue ameshaona aibu yake anajaribu kulinda hadhi yake.
Kwa hiyo wewe kuwepo hapa duniani ni matusi?

Mimi sina hadhi ya kulinda, acha kuzusha.
 
Labda BBC ya maboksi. Nasikiliza BBC World Service karibu kila siku, sijasikia kitu kama hicho.

BBC wako dunia nzima, watakosaje habari wakati kila siku kuna uchaguzi sehemu,kuna watu wanakufa, kuna tishiola vita na vita etc?
1930 ulikuwa umeshazaliwa? Na ulikuwa na radio. Soma habari vizuri.
 
Labda BBC ya maboksi. Nasikiliza BBC World Service karibu kila siku, sijasikia kitu kama hicho.

BBC wako dunia nzima, watakosaje habari wakati kila siku kuna uchaguzi sehemu,kuna watu wanakufa, kuna tishiola vita na vita etc?
Acha kukurupuka. Soma vizuri hiyo habari!!
 
Labda BBC ya maboksi. Nasikiliza BBC World Service karibu kila siku, sijasikia kitu kama hicho.

BBC wako dunia nzima, watakosaje habari wakati kila siku kuna uchaguzi sehemu,kuna watu wanakufa, kuna tishiola vita na vita etc?
Rudia kusoma tena mkuu
 
Mkuu, hiyo ilikuwa ni mpaka 1930 usitokwe na povu sana
 
Wewe hata ukiona umande wa asubuhi unaweza kuita povu, tushapita huko kote zamani. Soma mtiririko hapo juu.
 
kufikiri wala sio tatizo hivyo ndivyo binadamu tulivyo ila kwa mkurupuko wako sasa.... dadeki
Hujasoma thread ilivyoenda, wewe umekurupuka zaidi. Umedandia treni kwa mbele wakati watu tushashuka vituo kadhaa kabla.

Ukifikiria tu unaweza kufikiri jua linazunguka dunia, ukitaka kuhakikisha utaona dunia inazunguka jua.
 
Back
Top Bottom