BBC 103.3Mhz kunani, mbona hamko hewani?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,312
24,171
Sijui wamebadili masafu, au ndo wameingia mitini.
Kuna miziki tu1
Kuna nini mbona BBC 103.3Mhz haiko hewani karibia siku nne sasa.
Tunaofuatilia matukio kimataifa tunakosa kitu fulani, na mimi nilikuwa nimelala mbele na Trump, sasa mpaka niingie mtandaoni.
Kunani BBC!
 
Hata mimi nilitaka kusikiliza mpira wa FA j1 nikakuta mziki sijui wamepatwa na nini labda tumuulize kikeke
 
Mie huku kanda ya ziwa siielewi RFA maana kila dakika inakatakata, sijui uzee Wa mitambo
 
Back
Top Bottom