Analogia Malenga Platinum Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,292 Reaction score 10,842 May 28, 2013 #1 Wadau mi nataka kupiga kura ili kuwafanikisha wabongo kushinda ila naomba kufahamisha. BBA ina maana gani, ina vigezo gani kuingia na wanafanya kipi tofauti au cha maana wanapokuwa s. Afrika. Note: BBA means big brother africa
Wadau mi nataka kupiga kura ili kuwafanikisha wabongo kushinda ila naomba kufahamisha. BBA ina maana gani, ina vigezo gani kuingia na wanafanya kipi tofauti au cha maana wanapokuwa s. Afrika. Note: BBA means big brother africa