Bazazi

Mamushka

JF-Expert Member
Feb 17, 2010
1,595
99
Habari zenu people,

Mi nina swali tu, hivi Bazazi manaake nini? nakunatofauti gani kati ya Bazazi na Fataki?
 
Bazazi: mtu atumiaye hila, udanganyifu laghai, pwagu, mzandiki, mwongo, mnafiki.
Fataki: kipande kidogo cha shaba kinachotiwa baruti na kilichomo ndani ya risasi

Hakuna uhusiano wa kisemantiki baina ya maneno haya mawili, lakini kimatumizi, neno fataki tunaweza kulifananisha na bazazi kama mtu "baruti/risasi": mwepesi wa kukwepa, wa kulipua na kupenya; na mwenye kasi na ufundi wa maneno.
 

Asante sana kakaangu manaake hua ni vitu vinavyonichanganya sana japo si vya muhimu.
 
Msiniambie ndo maana ya bazazi, nalitamka hili neno mara 3600 kwa dakika.
 
Bazazi ni member wa JF......ngoja aje akueleze maana ya jina lake.....
 
Bazazi ni member wa JF......ngoja aje akueleze maana ya jina lake.....
Hahaha! Umenifanya nimtafute, sehemu kubwa ya maana inajieleza kwenye avatar yake:
[h=5]About Bazazi[/h] Location:Mzururaji tu.
Occupation:Opportunist


[h=4]Signature--Ikiwaka Mulika; Ikizima Papasa [/h]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…