Sawaa, lakini btn them and Chelsea, nani wakifika golini wanatishia zaidi usalama wa wenzao?
Uefa hewan sio? Nilipo ni kifungon, sitoona hata mech moja till dec
mhhh kweli leo majanga sana mpaka kadi nyekundu naye kafunga gori basi leo sio mchezoDakika ya 7 Chelsea wamejipatia bao kupitia kwa Torres. Mpira ni dk ya 13 sasa
mhhh kweli leo majanga sana mpaka kadi nyekundu naye kafunga gori basi leo sio mchezo
lakin buyern wnashambulia zaid ya chelsea
Mourinho kabaki basi zima nyuma
Bayern wakisawazisha tu imekula kwao chelsea