Its Bayeeernn....Morinho Kimyaaaa....wapi Invisible na Peasant????
Mmefungwa kwa penalty. Lukaku kakosa penalty ya mwisho.matokeo yapoje mkuu?. chelsea daima. mia
Mmefungwa kwa penalty. Lukaku kakosa penalty ya mwisho.
Mia
Mmefungwa kwa penalty. Lukaku kakosa penalty ya mwisho.
Mia
Hahaahaha....Mia ....
Pole mkuu..ndio mpira huo. Miaasante kwa taarifa japo ni mbaya kwangu. mia
Oops, Lukaku. Oops, Chavs.
Hiyo ilikuwa penalty ya viwanja vya shule za msingi.
Cha kushangaza Lukaku anashangaa kwa nini hakufunga goli kwa penalty yake wakati analipwa maelfu ya pound kila week kuweka mpira golini.
He's Chavs striker!.
Mkuu, ni kweli unachokisema, huo ndiyo ulikuwa mwisho wa uwezo wake kwenye kufunga kwa njia ya penalty kick, lakini kwa sasa ni bora Lukaku kwenda kununua kabisa a designer seat belt for his bench role.Mkuu ndio mpira huo ati
Ili mshindi apatikane ilikuwa ni lazima mmoja akose penati, zali likamuangukia Lukaku, au unadhani alifanya makusudi?
Ni kweli Chelsea hawakucheza mpira uliotakiwa kuchezwa na timu yenye wachezaji kama wao,nadhani ndio maana ManUtd walikuwa na umiliki wa mpira zaidi yao kwenye mechi iliyopita,kwa stahili hii sitegemei chelsea kama watapata nafasi mbili za juu kwenye Premier LeagueSimply Chelsea got what they deserved not what they wanted! Huu sio mpira kupaki basi ni ushamba ndo maana pep kamnyoa mourinho mechi kibao (mo kashinda mechi 3, pep 8) . Chelsea hawana mpira Zaidi ya kusubiri zali wapaki basi "sorry 4 u na kweli hamkustahili kushinda."