Mungu ni upendo
Member
- Nov 26, 2024
- 27
- 37
Nitafute dawa ipo ya kuchanja unapona kabisa ndani ya siku Tano tu
ipo kwa ndani au kwa njeMsaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.
Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Mimi nilitumia hii Kuna jirani yetu anauzaMsaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.
Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Ya ndaniipo kwa ndani au kwa nje
Kuna picha ya dawa hapo juu nimetuma umeiona???Ya ndani
Hiyo ni sugu tiba yake ni kupiga bomba 2mils kupitia haja kubwa dawa isiingie zaidi ya sm 10 kuna vifaa maalum.Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona.
Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
Muulize halafu nichekie 0655644508 nina shida maana na mimi ni muhangaaaKuna mwamba aliniambia ana dawa ya hii kitu ngoja nitaenda kumsikiliza then nitakupa mrejesho.
Mim pia naumwa sanaaaMkuu naomba na mimi unitumie pm pls
mkuu nenda sehemu wanapouza dawa za asili ulizia "kash kash maua"..ukizipata nenda kachemshe kidogo kidogo kama unavochemsha chai ya rangi, unywe glass 1 kila siku asubuh na jioni..ndani ya wiki 2 mkpk wiki 4,urudi kutoa majibuMim pia naumwa sanaaa
Ahsante sanaa ndugu yangumkuu nenda sehemu wanapouza dawa za asili ulizia "kash kash maua"..ukizipata nenda kachemshe kidogo kidogo kama unavochemsha chai ya rangi, unywe glass 1 kila siku asubuh na jioni..ndani ya wiki 2 mkpk wiki 4,urudi kutoa majibu