Dau la laki tano ndogo sana.
Kuanzia shilingi ngapi labda ungeona ni muafaka?
Dau la laki tano ndogo sana.
BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) linafanya mchakato wa kutafuta nembo yake ambayo itakuwa kielelezo cha vijana ndani ya chama hicho.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Katibu Mkuu wa BAVICHA, Deogratias Munishi, ilieleza kuwa nembo hiyo itakuwa alama ya utambulisho na inatarajiwa kutumika katika shughuli na mambo mbalimbali ya vijana ndani wa chama hicho.
Munishi aliwataka vijana wa CHADEMA na wapenda mabadiliko kubuni nembo kwa ajili ya alama ya baraza hilo.
Ili kutoa fursa kwa vijana wabunifu kutumia vipaji vyao kutoa mchango wao kwa chama na baraza lao, tumeandaa shindano maalumu la ubunifu wa nembo na atakayeshinda atazawadiwa, alisema.
Munishi alisema wale wote wenye kipaji cha ubunifu na wangependa kushiriki shindano hilo, watapaswa kuzingatia vigezo muhimu ambavyo ni pamoja na rangi kuu za CHADEMA.
Alisema watakaokamilisha kazi zao, waziwasilishe makao makuu ya chama hicho yaliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam kabla ya Machi 26.
Munishi alisema baada ya wadau mbalimbali kuwasilisha nembo walizozibuni, sekretaiati ya BAVICHA itazichambua na hatimaye kupata tatu bora ambazo zitawekewa utaratibu wa kushindanishwa kwa kuingizwa kwenye vyombo vya kimaamuzi, ili kupata nembo moja.
Alisema atakayeshinda atapatiwa sh 500,000 kama zawadi na cheti maalumu cha kutambua mchango wake kwa BAVICHA.
source:Tanzania Daima
Kisa mnataka kutengeneza logo!?
Umejivua ufahamu?
good move although the reward is not that much attractive .... they need to add more motivation e.g award of computer and or automatic qualification to a winner to do all BAVICHA designing contracts
Dau la laki tano ndogo sana.
Nafikiri recognition ya kushinda design ya taasisi mashuhuri kama ya CHADEMA ni zaidi ya kupata fedha, it will give you an enormous publicity! Kwahiyo wasishindanie fedha, washindanie kutambuliwa! Vijana designers wako wengi na wengine huwa wanafanya bure kwa mapenzi yao kwa chama tu!
Dau la laki tano ndogo sana.
mbona ni rahisi tuu waweke picha ya fisi akila mzoga chini ya mzoga waandike bavicha
Nafikiri recognition ya kushinda design ya taasisi mashuhuri kama ya CHADEMA ni zaidi ya kupata fedha, it will give you an enormous publicity! Kwahiyo wasishindanie fedha, washindanie kutambuliwa! Vijana designers wako wengi na wengine huwa wanafanya bure kwa mapenzi yao kwa chama tu!
Millioni 3.
Naungana na wewe. Hapa suala si pesa, suala ni kujenga heshima ya kutoa mchango wa ujenzi wa taasisi kubwa ya vijana kama BAVICHA. Kutambulika ndio jambo muhimu na BAVICHA wameamua kuwapa fursa vijana wao ili watumie ujuzi wao na ujulikane. Wangeweza kwenda hata china kutafuta hiyo nembo lakini ni watu wanaojali vipaji miongoni mwao na miongoni mwa Watanzania. Bravooo BAVICHA
good move although the reward is not that much attractive .... they need to add more motivation e.g award of computer and or automatic qualification to a winner to do all BAVICHA designing contracts
Hongera zako kwa kuwa mshapu!.Mimi nshatuma ubunifu wangu BAVICHA. Naamini nitashinda. Sijui wengine wenye vipaji vipi wajameni!
Dau la laki tano ndogo sana.
Dau la laki tano ndogo sana.