Posho aisee, wanasubiri mgao mwingine kutoka bungeni wa posho maana waliunga mkono kwa asilimia 100 nyongeza ya posho teh teh UKAWA kwa posho ni sheedah
Mchumia 0655Sawa mkuu...wewe ni mchumia Kei au mchumia nini?
nakuunga mkono nchi hii imekombolewa kwa jasho na damu , tunawaombea Mungu awapunguzie adhabu makamanda wote waliopoteza maisha kwenye uwanja wa mapambano ya ukombozi AMINA .
..sasa tunawakumbusha kwamba wakichapa kazi zaidi, UKAWA itapata wabunge wengi, na posho zitakuwa kubwa zaidi.
Noted Joka Kuu Tutalifanyia kazi..Mbona BAWACHA hatuwasikii?
..hii Jumuiya nilidhani itakuja kwa kasi zaidi baada ya Halima Mdee kuchaguliwa kuiongoza.
..jamani tusije tukalaumiana Oct mwaka huu, lakini nadhani BAWACHA wanapaswa kuongeza nguvu ktk uhamasishaji.
cc Tumaini Makene, Chademakwanza, Mag3, Molemo, Nguruvi3, Ben Saanane, Mkandara
Mchumia 0655
Noted Joka Kuu Tutalifanyia kazi
Fanyieni kazi kwanza kwanini kila mwaka ccm wanakuja na ufisadi mpya kwanzaFanyieni kazi pia la wabunge wa UKAWA kutokupinga nyongeza ya posho na mafao!
Fanyieni kazi kwanza kwanini kila mwaka ccm wanakuja na ufisadi mpya kwanza
Baraza la Vijana CHADEMA limejipambanua kama Baraza bora kabisa la vijana katika vyama vyote vya siasa hapa nchini.
Mwenyekiti wa BAVICHA Patrobass Katambi amelijenga Baraza hilo kama Taasisi imara kabisa tofauti na mtizamo wa baadhi ya watu siku za nyuma.
Ni takribani miezi miwili sasa viongozi wote wa BAVICHA wako mikoani na vijijini sehemu tofauti za nchi wakihamasisha operesheni yao ya BVR Shahada mkononi kuhamasisha watu kujiandikisha kupiga kura.
Kwa mfano kwa sasa Mwenyekiti wa Taifa Patrobass yuko mikoa ya Kanda ya Ziwa Mashariki akifanya mikutano ya hadhara na ya ndani kuhamasisha zoezi hilo na ujenzi wa chama.
Makamu Mkiti Patrick Ole Sosopi akiwa na viongozi wengine wa baraza hilo wanaongoza hamasa kubwa mikoa ya Kanda ya kaskazini na mikutano yao imeitisha CCM
Katibu Mkuu Bavicha Julias Mwita na Katibu Mwenezi Edward Simbeye wanatikisa mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria huku idadi kubwa ya wananchi ikiwaunga mkono kote wanakopita.
Wanachama wengi wa CHADEMA wamepongeza kazi kubwa inayofanywa na BAVICHA kote nchini na ni urithi bora kabisa kutoka kwa viongozi mashuhuri nchini Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa.
Hongereni BAVICHA...Endelezeni mapambano!!
Hapa ni mikoa Mbalimbali Vijana wetu wa Bavicha wakiwa kwenye matukio. Bavicha wamekua tegemeo kubwa sana kwa vijana wa Tanzania na mpaka sasa hivi ndio Baraza bora la vijana kwenye vyama vya siasaAttached Thumbnails
hawa vijana nimewavulia kofia aisee ! pamoja na mito kujaa mamba lakini wanasonga tu !Hakuna kulala wala kusinzia....pia na vijana wa bavicha kusin,sasa hivi ni mwendo wa vijiji kwa vijiji
CCM na ma-green guard yao wamepoteana muda mrefuu....wanasubiria kuanza ufidhuli jinsi ya kuhujumu kuelekea Oktoba pamoja mamluki wa kuiba kura maana kwa siasa za kawaida za kuwapata wananchi walishashindwa zamani....! burian! CCM, walikupenda zamani, ila sasa umechukiwa zaidi...kwa heri!
Lengo kubwa la bavicha ni kukata minyororo ya utumwa na umasikini miongoni mwa jamii .Ukimaliza hilo WE KIBARAKA CHadema kwanza waulize kwa nini hawataki kujenga ofisi za makao makuu ya Chama?
Ukimaliza hilo WE KIBARAKA CHadema kwanza waulize kwa nini hawataki kujenga ofisi za makao makuu ya Chama?
Kwa sababu Katibu Mkuu wao [Chadema] au wanachama wao hawako ktk Biashara wa Meno ya Tembo, kuuza Unga na kuua Albino kama mlivyokubuhu ktk genge lenu la Kijani. Kuuza Kontena la Meno ya Tembo na Tani 30 za Unga si mnaweza kujenga hata Ofisi 5 za Makao makuu? Lumumba, Dodoma nk....? Chadema inajenga Ofisi mioyoni mwa Watanzania...na ndio ofisi imara kuliko zote! Tupo pamoja Kinje??
hivi hujui hizo za ccm zilikua za Umma mkataifisha pamoja na viwanjaUkimaliza hilo WE KIBARAKA CHadema kwanza waulize kwa nini hawataki kujenga ofisi za makao makuu ya Chama?
Nchi hii itakuwa na bahati ya pekee kuwa na chombo hiki,na kupitia chadema uzalendo utajengwa kwani Bavicha na jeshi la wasomi,wafanyabiashara,wakulima na watu wa chini kabisa! Wameungana kujenga nchi.
Uvccm ilivyokufa,ni kutokana na chama kukikabidhi kundi lenye maslahi binafsi( mafisadi), UWT na zingine,hazitalingana na Chaso
Viva bavicha,chaso na bawacha,Mh. Mbowe anastahili sifa