Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,164
- 6,988
Hebu tuondolee uchafu wako uliocopy huko wikipidiaThere are many types of followers, but I am going to mention only two types of followers I know:
1) Sheep followers-they are not assertive, they tend to agree with anything a leader does or says even if it's wrong,They are there to please their leaders, and normally they can't be valuable advisers to the leader because of their 'yes Sir' attitude.
2) Independent followers-they are very assertive and outspoken followers, they like to speak out their minds. They are the valuable asset to their leader.Any leader who has got self-confidence,high self-esteem and who want to be successful will turn to independent followers.
Where do you fall into these two types of followers?Kabla ya kubishana sana na wewe ni vyema kwanza ukajielewa wewe ni nani na mimi pia nikufahamu wewe ni mtu wa muundo gani,kisha ndo tusonge mbele na majibizano.
Kamuulize babu ametoaka uschotch!
wewe ni mwezi mchanga?
Tulia mkuu hao wanamalizia kula posho zikiisha utawasikia tu wala usijali!
Freeland utaikuta kuzimu!
Unajielewa kweli wewe...manake isije kuwa na conversate na kichaa mbeba makopo.
Akaulizwe nini?
Mzigo kwa taifa at work!
..that fine with me as long as wanafanya kazi.
..Bawacha nao wachape kazi, au wao hawataki posho?
..Mbona BAWACHA hatuwasikii?
..hii Jumuiya nilidhani itakuja kwa kasi zaidi baada ya Halima Mdee kuchaguliwa kuiongoza.
..jamani tusije tukalaumiana Oct mwaka huu, lakini nadhani BAWACHA wanapaswa kuongeza nguvu ktk uhamasishaji.
cc Tumaini Makene, Chademakwanza, Mag3, Molemo, Nguruvi3, Ben Saanane, Mkandara
Hivi mkuu wewe hua unakumbuka hata kujiswafi ukitoka chooni.? manake hata mdomo wako unaonekana unanuka sana
hapo walidhulumiana hela ya rushwa waliyopewa katika uchaguzi wa uvccm uliopita , ninayo majina yao yote , la mtoa rushwa na ya hao wote wanaotoana damu hapo , bali kwa sababu za kidini ikizingatiwa kuwa huu ni mwezi mtukufu sitawataja ; ccm hawajawahi kutaniana mkuu . ukiona wameshikana basi ujue ni ngumi tu , hakuna cha mswalie mtume !Mkuu hao jamaa wa CCM walikuwa wanaigiza au ilkuwa show ya ukweli baada ya mtia nia kuwaachia faranga wagawane?
Unajielewa kweli wewe...manake isije kuwa na conversate na kichaa mbeba makopo.
Mi mwenyewe nakushangaa utakuwa umetoroka milembe aisee!
CHADEMA imekuwa jamani....Sasahivi majimboni CHADEMA haina shida ya watu....watu wanatosha....
Changamoto inayoikumba CHADEMA ni kwendana na ukuaji wa ghafla wa chama
Makamanda wanachapa kazi mkuu
Ni kuwahamasisha watu kujiandikisha kupiga kura
View attachment 261461
Makamanda wanachapa kazi mkuu
Ni kuwahamasisha watu kujiandikisha kupiga kura
View attachment 261461
ushauri wako nimeufikisha kwa Mwenyekiti .
Makamanda ngumi mkononi wakipewa haki yao mara baada ya kukaidi amri halali ya polisi ya kuwataka kusitisha maandamano yao yasiyokuwa na kibaliView attachment 261462