Wawekeze vijijini kule elimu bado kabisa kuna baadhi ya maeneo ccm imeworoga wananchi wake japo kuwa masikini. Ila octoba itajulikana2. Kichinjio tayari nimechukua.
Hakuna kulala wala kusinzia NYIE WANGA???acheni kujidanganya na kaulimbiu zenu za kujilisha upepo!kulala mtalala tu mbaya zaidi wananchi vijijini hawawaelewi!
Hapa ni mikoa Mbalimbali Vijana wetu wa Bavicha wakiwa kwenye matukio. Bavicha wamekua tegemeo kubwa sana kwa vijana wa Tanzania na mpaka sasa hivi ndio Baraza bora la vijana kwenye vyama vya siasa
wakati vijana wao wanatwangana na kuuana kugombea posho za wagombea urais ( inasemekana ndio rushwa kubwa zaidi ya uchaguzi kuwahi kutolewa na watia nia duniani ) sisi tunasonga mbele .