BAVICHA wamuasi Mbowe, waapa kwenda Dodoma

BAVICHA wamuasi Mbowe, waapa kwenda Dodoma

Hakuna kitu hapa. Kumbukeni zilipoishia ngebe za vijana wa KANU 92 na MCP 94.
 
Mwenyekiti Patrobas unakumbuka una dhamana ya criminal mahakama Mwanza juu ya issue ya marehemu Mawazo? Sharti moja wapo la dhamana ni kutokutoka Mkoa wa Mwanza pasipo kutoa taarifa Mahakamani au wadhamini wako wakaieleze mahakama dhumuni lako la kutoka mkoa wa Mwanza?
Je, umekamatiwa Mkoa gani? Kwa kosa la criminal tena. Je, umewasiliana na Mawakili wako juu ya hili? Patroba ,wewe ni mwanasheria je hujui madhara ya kuvuka bond?
 
Nendeni tu hamna namna......mi nawsauport,kwanza mbowe yeye mwenyewe hata angeruhusu asingekwenda!!......wapambanaji waukweli wataonekana kwa hili!!!.
 
Hii hekima ya Mbowe is questionable. Haiwezekani polisi wawe double standard kiasi hicho . Vijana si wajinga kiasi cha uvumilivu uliooneshwa na wao toka matukio ya ukandamizaji wa siasa za vyama vingg zaid chadema na washirika wake. Akumbuke mauaji ya mwangosi, arusha, katazo la mikutano vyama vya siasa and the like. Amani haiji kwa ukandamizaji haki..,
 
Mbowe aondoke kwenye uongozi,amefanya aliyofanya.Ampishe mwingine.
 
Anajiita Kiongozi mwandamizi wakati viongozi wakuu wako Dodoma cell/ Patrobas(mwenyekiti taifa ) Simbeye(mwenezi)na Katibu Julius.
Vijana wameanza kuasi. Bavicha sio chama ni wing of the party kama bawacha, uvccm,uwt,wazazi nk. sasa kama sio chama maana yake ni kuwa msajili Mutungi hawatambui kama chama chenye usajili wa kudumu. wataonekana kama wahuni tu na watapata wanachostahili.
Bavicha msimkorofishe mwenyekiti .
 
Back
Top Bottom