BAVICHA ,UVCCM wamtembelea sheikh Ponda Muhimbili

BAVICHA ,UVCCM wamtembelea sheikh Ponda Muhimbili

sheikh ponda ni nani hata atembelewe hospital jamani? halafu wala hampendezi! hebu jirudishieni wenyewe muone kama nyie mngelazwa sheikh ponda angefanya nini juu yenu! chadema mmeanza cheap politics!shame on you

mix with yours

Nyie hamuwezi kumtembelea Ponda Hosital coz nyie ndo watuhumiwa! Lakini Chadema na Cuf ni wasafi! Na mmeshindwa mkakati wenu wa kutuchonganisha Sisi watz kwa Udini na Ugaidi
 
Heche kashapata KITAMBI tayari. M4C inafanya bavicha wanawiri.

Slaa kamalizia nyumba ya Josephine, Heche kakitambi kanachomoza - siasa imekuwa biashara siku hizi...
 
Hata ridhiwani akionewa,chadema tutaungana kumtetea kwa nguvu zote.....by godbless lema.
 
sheikh ponda ni nani hata atembelewe hospital jamani? halafu wala hampendezi! hebu jirudishieni wenyewe muone kama nyie mngelazwa sheikh ponda angefanya nini juu yenu! chadema mmeanza cheap politics!shame on you

mix with yours

Kapwani

The one of the cardinal principle on fighting againt injustice is...injustice to some one somewhere, is injustice to anyone everywhere. No less, no more mkuu.

Kauli ya Pinda unajua madhara yake? Unafikiri wewe inaweza kukubagua? Watawala wakichanganyikiwa baada ya kuona njia ya kuondoka madarakani imekuwa nyeupe, usifikiri haya ni kwa ajili ya fulani na fulani. Never.
 
Heche kashapata KITAMBI tayari. M4C inafanya bavicha wanawiri.

Slaa kamalizia nyumba ya Josephine, Heche kakitambi kanachomoza - siasa imekuwa biashara siku hizi...

Kama kitambi maana yake ni kama ulivyoiweka mtu anayetarajiwa kuwa makini kama wewe, basi CCM itakuwa ni kiboko zaidi. Superbrand, maana watu kama Kapteni Komba, Mugana Msidai, Mohamed Misanga, Benjamin Mkapa na wengine wengi wa namna hiyo!
 
Mkuu, usichukulie hasira. Take it easy...
 
kwa mara ya kwanza naona busara imetumika humu ndani .......mungu anatusaidia kmjua mbaya wetu tusikubali kugawanywa hili tutawalike kwa udini wa watawala..........kosa gani au sheria gani hina mfanya askari afyetue risasi kwa raia au kiongozi waaina yoyote??? nyie mnao laumu heche kwanda kumuona naona ni kama mmedata kidogo amjitambui////au niambieni kosa lake tunambiwa uchochezi ....uchochezi ni kule kupinga wasiotaka ccm???basi chadema ndio wa chochezi zaidi...komamaaaaaa shekhe ponda.mpka kieleweke.
 
Back
Top Bottom