BAVICHA Mbeya,mkutano wa hadhara live.Polisi Wamwagwa.

..Inasikitisha kusema kweli. Huyu jamaa alikuwa amejitolea kutuhabarisha tukio muhimu lililokuwa linaendelea kule Mbeya, lakini kafungiwa bila hata wanachama kutaarifiwa kosa lake ni lipi. Kuna haja sasa ya kila anayefungiwa wanachama waarifiwe kwamba huyo aliyefungiwa kosa lake ni lipi au ndio inaacha picha kwamba kuna uonevu unaoendelea wa wanachama kufungiwa pasipo na sababu za kutosha au kuna MOD Magamba ambaye anafanya kazi kwa niaba ya magamba na Serikali DHAIFU....Sasa hivi hatujui kilichojiri katika mkutano huo wa BAVICHA

Mkuu,mleta mada kashalazwa peponi na ma mods Aka ban!
 
Back
Top Bottom