Lengo lao kufanya mkiutano mkuu BAVICHA Dodoma ni lile lile kwenda kuvuruga mkutano mkuu wa CCM.Kwa nini wa kwao wasifanyie Dar es salaam au sehemu yeyote.Ukipiga hesabu ni kuwa wiki mbili kutoka sasa ina maana watakuwepo dodoma wakati mkutano mkuu wa CCM unafanyika na yale makundi yao ovu.
Hawa BAVICHA niseme wazi hawana adabu kwa Mbowe wala Lowasa wala nani.Haya makundi inavyoelekea kuna watu wanajijenga kupitia BAVICHA kama new force ndani ya CHADEMA ambayo inalenga uchaguzi wa mwakani wa CHADEMA.Mbowe na Lowasa wajiandae kutupwa nje kama takataka na mtandao wa BAVICHA ambao unajipanga kuchukua CHADEMA