BAVICHA kufanya mkutano mkuu wa dharura Dodoma

BAVICHA kufanya mkutano mkuu wa dharura Dodoma

Baada ya azimio la Bavicha la kuzuia mkutano mkuu wa Ccm kutikisa nchi kiasi cha kulifanya jeshi la polisi 'kuandamana' mji mzima wa Dodoma wakiwa na magari ya washa washa na siraha nzito nzito. Na baada ya zuio la mwenyekiti wa chama taifa kwa azimio hilo, badala yake Bavicha watafanya mkutano mkuu wa dharula ndani ya wiki mbili toka hivi sasa mkoani Dodoma.

Mkutano huo mkuu maalum utajadili ukandamizwaji wa demokrasia unaoendelea nchini ikiwa ni pamoja na kukamatwa, kupigwa, kudhalilishwa na kufunguliwa kwa kesi kwa viongozi wakuu wa baraza hilo. Utakumbukwa pia mkutano wa baraza kuu la wanawake (Bawacha) chini ya Halima Mdee ulifanyika Dodoma pia.

Kinachosubiriwa ni viongozi wakuu wa baraza hilo kurudi Dar es Salaam ili kutoa taarifa rasmi ya kusudio hilo kwa katibu mkuu ambaye hatarajiwi kukataa ombi lao
No problem. Ajenda ipi? Isiwe kumtukana Dr Tulia au Jeshi la Polisi kwa kufanya kazi zao kisheria. Na wamtambue kwanza Rais Dr Magu na Rais Dr Shein na kukubali haki yao kupewa muda kutekekeza ilani zao kwa wapiga kura waliowachagua. Yaani vikao visipingane na uamuzi wa wananchi.
 
No problem. Ajenda ipi? Isiwe kumtukana Dr Tulia au Jeshi la Polisi kwa kufanya kazi zao kisheria. Na wamtambue kwanza Rais Dr Magu na Rais Dr Shein na kukubali haki yao kupewa muda kutekekeza ilani zao kwa wapiga kura waliowachagua. Yaani vikao visipingane na uamuzi wa wananchi.
Mbona una wasi wasi na hao uliowataja? Kwani hawakupatikana kiharali?
 
Duniani kote hamna democrasia ya kutukana.

Hata ndani ya chadema hatuna democrasia ya kuropoka na kutukana watu jinsi unavyojisikia.

Bavicha changieni madawati ili mvutie watu Wenye akili ndani ya chama ,migomo na maandamano mtavutia vibaka na wanywa viroba tu.
Kiongozi wa matusi ni mbunge wa kigoma kaskazini CCM. Alitukana fck you bungeni. Anawakilisha ngiri wote wa lumumba
 
Mwenyekiti alikataa kwenda kuzuia mkutano wa Ccm siyo baraza kuu la vijana

hamnaga baraza kuu la kukurupuka ndugu! yaan liko wazi kabisa nilakuvuruga tu baana halikuwepo ni baada yakuzuiwa pangeni siku nyingine! acheni kujifanya mko juu ya mwenyekiti wenu otherwise mtapigwa tu
 
Kitu kinachosaidia polisi ni kwamba hata mkuu wa chama kasema pigeni hao machizi, sijaona mtu mwenye akili timamu ndani ya chadema tangu hawa mapunguani waanze utoto wao akiwaunga mkono, kama Lisu, Mbowe, Lema, Mzee Lowasa wamefunga vioo basi hizi harakati za kina chai jaba wamezidharau na wanaona aibu kuwa na baraza la vijana hovyo kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwake
 
Sounds very strategic and I strongly support the move. Hii akiikataa Mbowe nitakuwa kinyume nae. Wish u alj the best Bavicha!
 
I like the bavicha strategies za kuwatisha hao jamaa kwa kiwango hicho. Just bavicha?
 
Bavicha watafanya mkutano mkuu wa dharula ndani ya wiki mbili toka hivi sasa mkoani Dodoma.

Lengo lao kufanya mkiutano mkuu BAVICHA Dodoma ni lile lile kwenda kuvuruga mkutano mkuu wa CCM.Kwa nini wa kwao wasifanyie Dar es salaam au sehemu yeyote.Ukipiga hesabu ni kuwa wiki mbili kutoka sasa ina maana watakuwepo dodoma wakati mkutano mkuu wa CCM unafanyika na yale makundi yao ovu.

Hawa BAVICHA niseme wazi hawana adabu kwa Mbowe wala Lowasa wala nani.Haya makundi inavyoelekea kuna watu wanajijenga kupitia BAVICHA kama new force ndani ya CHADEMA ambayo inalenga uchaguzi wa mwakani wa CHADEMA.Mbowe na Lowasa wajiandae kutupwa nje kama takataka na mtandao wa BAVICHA ambao unajipanga kuchukua CHADEMA
 
Kwa mara ya kwanza BAVICHA ya Patrobas imesimama imara na kutufanya tujivunie.
Nadhani sasa hata John Heche atafurahi sana

Hongereni BAVICHA,TUNAWATEGEMEA SANA.
 
Nimewaelewa sana BAVICHA. Wamekamata vizuri siasa za Tanzania kwa wiki kadhaa sasa; Hakuna (Media, mitandao nk) anayezungumzia CCM & Mkutano wao bali BAVICHA.

You have really played well ... Keep it up. This is politics.

Kuwa sana kwenye media kunasaidia nini wakati ukifika uchaguzi mnapigwa chini!
Uchaguzi uliopita hakuna aliyekuwa kwenye kila media kama Lowasa ilipofika kwenye kura akapigwa chini.
Haya BAVICHA endeleeni kuuza sura kwenye media
 
Back
Top Bottom