BAVICHA iliashaamua hata kabala ya Ben Saanane kuibuka

THE COMMISSIONER

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
267
Reaction score
111
Wakuu nimekua nikifuatilia mijadala hapa jamvini kabla na hata baada ya BAVICHA kupitisha panga zito la kuwakata masalia huku Ben Saanane akinusurika kupitiwa na panga hilo ndani ya BAVICHA.

Watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa Ben ndiye aliyeanzaisha huo mchakato wa kula vichwa vya Masalia. Ukweli ni huu hapa:

BAVICHA iliaunda kamati yake ndogo ya kuchunguza uasi wote ndani ya BAVICHA na CHADEMA mwezi wa 9 2012 kwenye kikao chake Morogoro. Kwenye kikao hiko vijana wengi walitajwa kuhusika na kuihujumu Chadema. Kamati hiyo kwa taarifa iliyotelwa kwa vyombo vya habari na Heche tarehe 07/01/2013 inaonyesha Ben Saanane alihojiwa na kamati hiyo.

Baada ya kuona kuwa BAVICHA wako Serious na kwamba wamepania kusafisha baraza lao, ndipo Ben Saanane akaamua kuanika uhoza wote hadharani amabao kamati ndogo ya BAVICHA ilishaudaka na hata kama Ben asingeuaniaka teyari BAVICHA ilishakuwa kwenye mkondo uliosheheni ushahidi wa kutosha kuuwa virusi kwenye baraza lao.

Ukiangalia mtiririko wa mambo utaona kuwa Ben Saanane akichagizwa na post ya Mamuya alikuja kupost hapa Jf mwishoni mwa mwezi wa 12 na teyari kwa wakati huo BAVICHA ilikuwa inaelekea kwenye vikao vyake.

Kwa hiyo ni lazima umma uelewe kuwa hata kama asingeibuka Ben, Masalia au Virusi ndani ya BAVICHA vilikuwa vinakaribia ukingoni kwa kuwa BAVICHA wenyewe walishaanza kuchukua hatua tena bila hata kumuangalia mtu usoni wala cheo chake.

Ieleweke, simaanishi kuwa Ben hakuwa na mchango wowote katika kudelete virusi. Yeye alisaidia tu kuweka picha wazi amabyo kama nilivyosema BAVICHA walishaidaka. So my heroes kwenye lile saga la BAVICHA ni BAVICHA kupitia kikao chao cha Morogoro amabcho hata mimi nilipata kukishuhudia and not Saanane.

Nimeamua kuweka historia sawa wajameni.
 
Kibaraka wa wanakaskazini kachukue posho yako kinondoni
 
Huu mzimu mbona unaibuka? tulishawahi kujadili na tunawajua wabaya wote.......CCM wasitupotezee lengo letu, tunapigania nchi yetu, wao wabaki kupika majungu.
 
Achaneneni na Masalia, Leo M4C wapi, nikamalizie hasira zangu huko.
 
Kwanini kuna ubaya gani hata kama ingekuwa ni Ben Saanane ndiyo aliyeibua jambo hili?mie sioni tatizo, cha muhimu amejituma na tumeona matokeo yake.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nimekua nikifuatilia mijadala hapa jamvini kabla na hata baada ya BAVICHA kupitisha panga zito la kuwakata masalia huku Ben Saanane akinusurika kupitiwa na panga hilo ndani ya BAVICHA.

Watu wengi wamekuwa wakidhani kuwa Ben ndiye aliyeanzaisha huo mchakato wa kula vichwa vya Masalia. Ukweli ni huu hapa:

BAVICHA iliaunda kamati yake ndogo ya kuchunguza uasi wote ndani ya BAVICHA na CHADEMA mwezi wa 9 2012 kwenye kikao chake Morogoro. Kwenye kikao hiko vijana wengi walitajwa kuhusika na kuihujumu Chadema. Kamati hiyo kwa taarifa iliyotelwa kwa vyombo vya habari na Heche tarehe 07/01/2013 inaonyesha Ben Saanane alihojiwa na kamati hiyo.

Baada ya kuona kuwa BAVICHA wako Serious na kwamba wamepania kusafisha baraza lao, ndipo Ben Saanane akaamua kuanika uhoza wote hadharani amabao kamati ndogo ya BAVICHA ilishaudaka na hata kama Ben asingeuaniaka teyari BAVICHA ilishakuwa kwenye mkondo uliosheheni ushahidi wa kutosha kuuwa virusi kwenye baraza lao.

Ukiangalia mtiririko wa mambo utaona kuwa Ben Saanane akichagizwa na post ya Mamuya alikuja kupost hapa Jf mwishoni mwa mwezi wa 12 na teyari kwa wakati huo BAVICHA ilikuwa inaelekea kwenye vikao vyake.

Kwa hiyo ni lazima umma uelewe kuwa hata kama asingeibuka Ben, Masalia au Virusi ndani ya BAVICHA vilikuwa vinakaribia ukingoni kwa kuwa BAVICHA wenyewe walishaanza kuchukua hatua tena bila hata kumuangalia mtu usoni wala cheo chake.

Ieleweke, simaanishi kuwa Ben hakuwa na mchango wowote katika kudelete virusi. Yeye alisaidia tu kuweka picha wazi amabyo kama nilivyosema BAVICHA walishaidaka. So my heroes kwenye lile saga la BAVICHA ni BAVICHA kupitia kikao chao cha Morogoro amabcho hata mimi nilipata kukishuhudia and not Saanane.

Nimeamua kuweka historia sawa wajameni.

Awe Ben au Bavicha lengo limetimia ni kung'oa virus shonza na wenzie,kwani Ben sio Bavicha akifany Ben ndio kafanya Bavicha.
 
Sasa iwekwe wazi kuwa Zitto alikuwa mmoja wao au sio maana hakuna haja ya kufuga kupe kwenye chama cha ukombozi kama chadema.
 
Back
Top Bottom