BAVICHA Ilala yatoa taarifa kwa umma

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
BARAZA LA VIJANA MKOA WA ILALA: Lina kutaarifu kuwa LEO saa tisa alasiri 15:00, Tarhe 28.01.16 Ofisi za kanda ( ufipa -kinondoni) kutakuwa na kikao cha BAVICHA wote mkoa wa ilala.

AGENDA KUU 1; Udhalilishwaji mkubwa na ufedheheshwaji wa wabunge wa UKAWA uliofanyika Jana bungeni dodoma, Unaotokana na kupinga tamko la waziri wa habari tamaduni, Sanaa na michezo ( NAPE )

WAALIKWA NI; Viongozi wote wa bavicha na Wanachama katika jimbo lako,Taarifa hii ifike kuanzia jimbo hadi msingi, Upatapo taarifa hii mpatie mwingine na ufike bila kukosa.

KATIBU (BAVICHA) ILALA ''JEROME OLOMI''.
 
Mmewalipia gharama za nauli, malazi na chakula? Mtaweza vipi kukusanya viongozi wa nchi nzima kupiga porojo?
 
Nyumbu banaa mbona mapema mnahangaikaaa hangaikaa hadi 2020 si wengine mtakuwa hamna miguu jamni..kuweni wapole hii movie ndo kwanza inaanza
 
Back
Top Bottom