BAVICHA iko wapi?


Na mtamaliza kuni kuchochea mawe na hayataiva, hivi mmeshawahi kukaa chini na kutathmini ni kwa kiasi gani propaganda zenu dhidi ya CHADEMA zimewanufaisha!??? au ndo vile mkishatia ndani posho mnakua mmemaliza kazi na kuanza kufikiria jingine la kutoka nalo mkidhani kwamba mtaisambaratisha CHADEMA kwa mtindo huo, I dare say Mtasubiri sana meli airport huku CHADEMA ikichanja mbuga...
 
Kwahiyo kwenye mizani yako wewe Zitto aendelee kuchafuliwa mpaka siku pesa za EPA zitakapokuwa hazijaibiwa?

Kwani wakati waliomchafua Dr. Slaa wanapewa adhabu kulikuwa hakuna pesa za EPA zilizoibiwa?

Una uchungu sana na yanayoendelea CHADEMA ila yaliyoko ndani ya ccm na serikali yenu huyaoni!??, hivi mkishatung'oa kucha huwa mnazifanyia nini!???
 

Kabla hatujaanza sisi kumsaidia huyu mmoja iambie serikali ya chama cha MAPINDUZI iwasaidie vijana na watoto wa kitanzania kwa kuwawekea mfumo bora wa elimu na sio kumkabidhi kílaza wizara nyeti kama ya elimu kisa alifanya bidii kuhakikisha unafanikiwa kuongeza idadi ya "mama zetu wadogo" . bursted..
 
Una uchungu sana na yanayoendelea CHADEMA ila yaliyoko ndani ya ccm na serikali yenu huyaoni!??, hivi mkishatung'oa kucha huwa mnazifanyia nini!???

Vijana mliolaghaiwa hamna kabisa uwezo wa kujibu hoja...
 

Good...I like this!
 
Ben ben ni nani huyu katika siasa za nchi hii? Ni takataka tu nashangaa mnaopoteza muda kumjadili.
 
Mkuu ulichoongea ni sahihi. Lakini nikuulize swali, ni nani kati ya waliofukuzwa na kupokelewa nanyi Lumumba au kokote walikoenda alithubutu kukubali kosa na kuomba msamaha??

Nitajie mmoja tu.
 
Vijana mliolaghaiwa hamna kabisa uwezo wa kujibu hoja...
Ww si di daktari? Nakufananisha na condom iliotumika yaani na usomi wako ilboru ma university ulaya tena ma soviet lakini unatumiwa na wajinga wajinga kama nape? Ama kweli tuna kazi na Tanzania.
 
Ben ben ni nani huyu katika siasa za nchi hii? Ni takataka tu nashangaa mnaopoteza muda kumjadili.

Kwenu si hadi mtu awe fisadi ndo muweze kumtambua!?? afu na wewe umemjadili, hujishangai???
 
Heri yako wewe "uliyeajiriwa" ilhali sisi wengine tumelaghaiwa.. Hongera
Sijui kama alishatoka muhimbili maana kule alikuwa anaitwa chinja chinja akishika mgonjwa lazima afe. Ila kumbe hii ndio kazi anayoijua. Zamani alikuwa na vision sana hata ukiongea nae unajua hawa ndio watu alipogombea ubunge kilombero akashindwa kura za maoni ndio akaanza kuwa mjinga. Sikuwahi kuitegemea kama zerma ninaemjua atajuja kuandika upuuzi kama huu ila mkuu huwezi jua pengine kaona fani yake ya u dr hailipi na ana familia inamtegemea kaamua kuwa wakala wa nape. Tusoimlaumu tulaumu serikali ambayo labda wangeweka mazingira mazuri kweye fani ya udr angetulia kule kule
 



mkuu niwie radhi kukuhamisha mada. Juzi wewe na member mwingine Independent Voter mulidai kwamba toka ishu ya lwakatare itokee, Ben amekuwa akihaha kila siku kupost threads ili kucover up. Nikakuomben ili nisiwaite wazushi mnipe link ya thread moja tu nje ya aliyopendekeza mwigulu, shonza, zito, mwampamba kuhojiwa juu ya ishu ya lwakatare, bt mpk leo sijapata hiyo link.

Nishawafaham ninyi ni watu wa namna gan.

Tuache ushabiki wa namna hiyo bandugu
 
Last edited by a moderator:

leo ndugu yangu umeandika hoja yenye mashiko umeuonesha UGAMBA wako kwa mlango wa nyuma
 

natamani nikupe LIKE lakini niko via mobile
 
Hoja nzito majibu myepesi kama karatasi. Hakika nibara ushikiwe pesa kuliko akili, wafuasi wengi wa CDM wameshikiwa akili, hili ndio tatizo linalo waathiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…