BAVICHA, BAWACHA rushwa nje nje

BAVICHA, BAWACHA rushwa nje nje

Chadema Tulishaizika tangu Kalenga.

Jipime kauli yako kama inatoka kwa mtu mwenye akili timamu, au ni mtumwa wa fikra, ama kuendekeza njaa na mwisho kukubali kutumika na maintarahamwe.
Angalia chama kinavyofanya uchaguzi halafu unasema ulikiacha Kalenga.shame on you
 

Attachments

  • 1410520586010.jpg
    1410520586010.jpg
    80.1 KB · Views: 126
  • 1410520619578.jpg
    1410520619578.jpg
    78.2 KB · Views: 122
- Waache hao wafu wazikane wenyewe eti bavicha ndio nini hapa bongo?

Le Mutuz

kumbe upo!!?? sasa kama hujui bavicha ni nini umejuaje kwamba ni wafu? hahaha!!!! akili ndogo kwenye mwili mkubwa. sorry.
 
baadhi ya wagombea wamelalamika baadhi yao wametumia rushwa kati ya alfu thalasini na hamsini kuwarubuni wajumbe.
mytake hii ni hatari
sourxce startv magazeti

Kwanini usiseme source yako ni kijarida cha jambo leo , unaogopa nini ?
 
Wadau nimefuatia chaguzi hizo za ndani kwa vijana wa CDM maana yalitajwa majina ya kila aina, majina makubwa kwa madogo nikimaanisha yanajulikana sana na yasiyojulikana sana lakini wote ni wanachadema. Sasa wadau mlioshiriki kuchagua na kuomba kuchaguliwa, vipi kulikuwa na rushwa au harufu ya rushwa katika chaguzi hizo kama ilivyozoeleka katika chaguzi mbalimbali ndani ya vyama vyetu vya kisiasa hapa nchini?.
 
Mleta mada ninakuhakikishia kungekuwa na rushwa au hata dalili wale vijana wa buku saba Lumumba wangekesha humu JF!!! CDM is the only clean Political Party in this Country hata kwa Africa nzima hakuna mfano. It remains the role model. Keep it up makamanda.
 
Vijana wa Bavicha wana hongeka kirahisi sana!
 
Unanikumbusha uchaguzi wa wale vijana wa ccm walivyoshikana mashati kuhusu mlungula.
Kundi la mamvi likaibuka kidedea kwa kulizidi mkwanja lile la Mr soap soap wa mtamaa.
Bavicha ndio kundi la vijana lenye ushawishi zaidi nchini,hongereni chadema na vijana wenu
 
baadhi ya wagombea wamelalamika baadhi yao wametumia rushwa kati ya alfu thalasini na hamsini kuwarubuni wajumbe.
mytake hii ni hatari
sourxce startv magazeti

Unanuka kwa kujamba, kutooga, nguo huvui, mswaki mtihani kwako, huna wala hutawazi nk. Kheri ya chizi kuliko wewe unukae kwa uchafu wako.
 
Back
Top Bottom