BAVICHA, BAWACHA rushwa nje nje

BAVICHA, BAWACHA rushwa nje nje

Wadau nimefuatia chaguzi hizo za ndani kwa vijana wa CDM maana yalitajwa majina ya kila aina, majina makubwa kwa madogo nikimaanisha yanajulikana sana na yasiyojulikana sana lakini wote ni wanachadema. Sasa wadau mlioshiriki kuchagua na kuomba kuchaguliwa, vipi kulikuwa na rushwa au harufu ya rushwa katika chaguzi hizo kama ilivyozoeleka katika chaguzi mbalimbali ndani ya vyama vyetu vya kisiasa hapa nchini?.

Harufu ya RUSHWA ipo huko kwenu kwa mamluki ATC na MMC

Huku kwetu RUSHWA ni dhambi kama KUUA
 
Mleta mada ninakuhakikishia kungekuwa na rushwa au hata dalili wale vijana wa buku saba Lumumba wangekesha humu JF!!! CDM is the only clean Political Party in this Country hata kwa Africa nzima hakuna mfano. It remains the role model. Keep it up makamanda.
eti role model! labda ya ukanda, ukabila na udini.
 
Ungejua unachokisema ungekaa kimya. Nani kaanzisha ukanda kama si mwenyekiti wa CCM, kanda maalum ya dar, kanda maalum ya Tarime...., ukabila? Uteuzi wa mgombea ubunge kutitia CCM kwa jimbo la chalinze katika uchaguzi mdogo ulitumia vigezo gani? Kwa habar

i ya udini, hili si zuri kulisema sana kwani ni hatari kwa usalama wetu. Nikuulize tu kama unakijua chama ambacho ilani yake ya uchaguzi kiliahidi kuanzisha mahakama za kidini fulani na sasa wapo kwenye bunge maalum na wameshatekeleza ilani yao kwa kuliingiza kwenye katiba ya nchi ambayo si ya kidini. kumbuka hoja za mheshimiwa Lema ambazo hadi leoo mheshimiwa spika kakalia majibu yake.
 
Jibu hoja a cha uto to a.k.a ubavicha
 
- hehehehehehe CUF si mliwaita mashoga na sasa mmeungana nao leo una ubavu hata kuwatukana na mashoga na huku mmeungana nao? hahahahahahahaah kwani kwenye UKAWA hamko na CUF mliosema mashoga au umesahau unajua ukiwa shoga huwa ni rahisi sana kuamini wengine wote ni kama wewe hahahahahahahaha

Le Mutuz

Hadija Kopa siku izi anatumia id ya Le Mutuz? Taabu kweli kweli!!!!
 
- hehehehehehe CUF si mliwaita mashoga na sasa mmeungana nao leo una ubavu hata kuwatukana na mashoga na huku mmeungana nao? hahahahahahahaah kwani kwenye UKAWA hamko na CUF mliosema mashoga au umesahau unajua ukiwa shoga huwa ni rahisi sana kuamini wengine wote ni kama wewe hahahahahahahaha

Le Mutuz[/QUOTE]

Mashoga ni wanaume kama wewe wanaowashabia wanaume wenzao.
. Kila siku Super billionea
 
pamoja na wagombea kulalamika rushwa ilikua nje nje ila tunapongeza kupata sura mpya tofauti na zilizozoeleka hio ndio demokrasia.
ombi kwa wajumbe wafanye hayo kwa nafasi ya mwenyekiti kwa kuweka sura mpya km bawacha
kwa ushauri tu yupo mgombea mmja anapigwa vita kwa hoja sera zake nzuri. wajumbe fanyeni surprise!
 
ithamini kura yako ufanye mabadiliko. waliozoea kugombea na kivuli wanahofu woga wanatetemeka.fight on tym is on ur side
 
Umeona hiyo tu, je sirikali ya ccm inavyo kula rushwa mpk ya ngono hujaona?
 
naona pumba tu humu. michango ya misukule bhana! majanga.

Ungejua unachokisema ungekaa kimya. Nani kaanzisha ukanda kama si mwenyekiti wa CCM, kanda maalum ya dar, kanda maalum ya Tarime...., ukabila? Uteuzi wa mgombea ubunge kutitia CCM kwa jimbo la chalinze katika uchaguzi mdogo ulitumia vigezo gani? Kwa habar

i ya udini, hili si zuri kulisema sana kwani ni hatari kwa usalama wetu. Nikuulize tu kama unakijua chama ambacho ilani yake ya uchaguzi kiliahidi kuanzisha mahakama za kidini fulani na sasa wapo kwenye bunge maalum na wameshatekeleza ilani yao kwa kuliingiza kwenye katiba ya nchi ambayo si ya kidini. kumbuka hoja za mheshimiwa Lema ambazo hadi leoo mheshimiwa spika kakalia majibu yake.
 
pamoja na wagombea kulalamika rushwa ilikua nje nje ila tunapongeza kupata sura mpya tofauti na zilizozoeleka hio ndio demokrasia.
ombi kwa wajumbe wafanye hayo kwa nafasi ya mwenyekiti kwa kuweka sura mpya km bawacha
kwa ushauri tu yupo mgombea mmja anapigwa vita kwa hoja sera zake nzuri. wajumbe fanyeni surprise!
Mnaotaka sura mpya mbona hamkuzidai ndani ya chama chenu tuone hiyo demokrasia? Linalowasumbua ni utendaji wa hao waliochaguliwa. Mngeacha sera za baba, mama na mtoto tungejua mpo makini.Shibuda katania kumpinga mtani wake last time, kilichompata, hata nafasi ya ubunge kanyimwa. Hiyo ndo domokasi yenu.
 
Back
Top Bottom