assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #41
Kwa jinsi vyombo ya dola vya Tz vinavyofanya kazi kwa kuangalia aina na mtoaji, TAKUKURU wangeishakamata mtu hapo ili kuonyesha umahiri wao na kutoa fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.
sio rahisi tskukuru kuingia chooni