BAVICHA, BAWACHA rushwa nje nje

BAVICHA, BAWACHA rushwa nje nje

Unajua wee jamaa huwa hufaninii kabisa na comment zako na wewe ulivyo. Badilika bhana kwani unastahili kuwaza tofauti na ulivyo sasa. Ivi huko nje mkienda huwa hamjifunzi maana ndo mnazidi kufifia kifkra.

- Unasema nibadilike nijifunze kutoa Rushwa kama huko uchaguzi wa Bavicha, hahahahahahahah U know
Le Mutuz
 
Siku hizi umeacha kuvaa heleni naona umejiweka kwenye kundi la wanaume tambua kuwa asili yako hautaiacha na hiki kinajidhihirisha kutokana na michango yako hapa JF kwani imekaa ki s.. ga s..ga

- Imekaa kimuungano wa CUF na Chadema hahahahahahaha mlisema CUF ni ki....s..ga s..gas halafu mkajiunga nao leo unasema nini mkuu sana hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
- Hebu soma vichwa vya magazeti ya leo Rushwa bavicha ni aibu mnatisha kwa rushwa eti mshike dola labda ya UKAWA

Le Mutuz

Sasa umesoma kichwa cha habari tu? Kwanza gazeti gani ili tutafute habari yenyewe tuiweke hapa kama we umeshindwa!
 
Dodoma
Matokeo ya uchaguzi wa Jumuiya ya
Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)
yametangazwa jana huku kukiwa na
harakati za kuyapinga kwa madai ya
ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi. Kati ya mambo yaliyotajwa kupindisha
taratibu za uchaguzi huo uliofanyika
juzi ni kile kilichoelezwa kuwa ni
kutawaliwa na vitendo vya rushwa.
Baada ya Msimamizi wa uchaguzi huo,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi
kutangaza matokeo, baadhi ya vijana
waliyapinga na kuanza kukusanya saini
340 ili kuyapinga.
Katika kuonyesha kutoridhishwa na
mchakato mzima wa uchaguzi, baadhi ya wajumbe walibeba mabango yenye
ujumbe wa kutokubaliana na matokeo,
mbele ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk
Ali Mohamed Shein baada ya kumaliza
kufunga mkutano huo. Moja ya bango hilo lilikuwa na maneno:
“Jumuiya si ya Lowassa na wafuasi
wake (Benno, Bashe, Zungu, Zabein…..)
hivyo jumuiya itakuwa na kambi mbili
ya kwanza jukwaani na kambi ya
mezani.” Bango jingine lilisomeka: “Jumuiya
imara hujengwa na uchaguzi wa haki
na siyo rushwa za Bashe, Benno na
Zungu.”
Waziri Mkuu wa zamani, Edward
Lowassa ni miongoni mwa makada wa CCM wanaotajwa kuwania urais katika
Uchaguzi Mkuu wa 2015 na kambi yake
imekuwa ikitajwa kuwa na ushawishi
mkubwa katika uchaguzi wa ndani wa
CCM.
Kwa tafsiri ya mabango hayo, Benno (Malisa) alikuwa Kaimu Mwenyekiti wa
UVCCM aliyemaliza muda wake, Bashe
(Hussein) naye alikuwa ni Mjumbe wa
Baraza Kuu la jumuiya hiyo ambaye
amemaliza muda wake.
Maofisa usalama na walinzi wa jumuiya hiyo ambao walikuwa wakijaribu
kuwanyang’anya vijana hao mabango
walishindwa, hivyo kulazimika kusubiri
dakika kama tano hivi hadi msafara wa
Dk Shein ulipoondoka walipowatoa nje
ya eneo la ukumbi wa mkutano. Tukio hilo lilizua tafrani baada ya
walinzi hao kuwanyanyua juujuu
vijana wawili kati ya sita waliokuwa na
mabango, huku wengine wakionekana
kutaka kuwapiga lakini polisi
waliingilia kati na kuwatoa nje. Baadaye polisi waliondoka na vijana
watatu katika tukio ambalo lilikuwa
likifuatiliwa kwa karibu na baadhi ya
wagombea ambao walishindwa katika
nafasi mbalimbali za uongozi wa
UVCCM. Vijana walalama Mapema jana asubuhi, kundi la vijana
kutoka mikoa mbalimbali walikutana
na waandishi wa habari na kulalamika
kwamba rushwa ilitawala huku
wakiwatuhumu viongozi wa UVCCM na
baadhi ya makada wa chama hicho kwa kuhusika na vitendo hivyo.
Waliotajwa ni pamoja Malisa, Katibu
Mkuu wa UVCCM, Martin Shigela, Bashe
na mtoto wa Lowassa, Fredy.
“Kama Rais Jakaya Kikwete kweli yuko
makini na kauli zake ni za dhati, basi atengue matokeo ya uchaguzi huu
maana kanuni zimekiukwa na kusema
kweli rushwa ilitawala. Atumie nafasi
yake kurejesha hadhi ya chama, huu
uchaguzi ni batili,” alisema Mjumbe wa
Mkutano Mkuu wa CCM kutoka Morogoro, Augustine Matefu.
Walidai kuwa Bashe ndiye aliyekuwa
mratibu wa uingizaji wa fedha katika
eneo la mkutano ambazo zilitumika
kugawanywa kwa wajumbe na
kwamba Malisa na Shigela waligawa Sh1 milioni kwa viongozi wa mikoa
kama hatua ya kumpigia kampeni
mmoja wa wagombea walioshinda.
Kada mwingine, Livamba Adinan
Selemani alisema: “Vijana kweli
tumempuuza Rais, kweli mtu ambaye hana hela hawezi kupata uongozi
UVCCM, kwa maana nyingine nchi yetu
inakwenda pabaya. Watu wachache
wenye fedha wanaweza kuamua
kufanya wanachotaka, hivyo ndivyo
uchaguzi wetu wa vijana ulivyokuwa.” Mjumbe mwingine, Kichanta Selemani
alisema malalamiko ya viongozi wa
UVCCM kuwapendelea baadhi ya
wagombea yalifikishwa kwa Lukuvi
lakini hakuna hatua zilizochukuliwa.
Wakati makada hao wa CCM wakizungumza na waandishi wa
habari, lilitokea kundi jingine la makada
wa chama hicho ambao walianza
kuzozana na wenzao wakisema kuwa
malalamiko yao yanatokana na
kushindwa na kwamba walitaka kutumia: “Viongozi wa ngazi za juu za
CCM” kuwachagulia vijana viongozi.
Kundi hilo la pili lilidai kuwa katika
uchaguzi huo kundi hilo la kwanza
ndilo lililohonga fedha na kumtaja
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwamba alikuwa
akiwashawishi wajumbe kwa fedha
kumchagua mmoja wa wagombea.
Akizungumzia tuhuma hizo, Nyalandu
alisema kupitia ujumbe wa simu yake
ya mkononi: “Mimi siyo mjumbe wala mgombea na wala sihusiki kwa lolote.
Nilikwenda ukumbini na waziri
mwenzangu na baadaye tukaondoka
pamoja. Hao ni waongo wakubwa na
wazushi wachache wanaonunua haki.”
Hakuna mtu yeyote niliyeongea naye wala kutoa hela yoyote kwa sababu
zozote zile na tulikuwa ukumbini
baadaye nje wote pamoja (na waziri).
Shame to them who lie (aibu kwao
wanaosema uongo) na wataje majina
yao tuyasikie.” Alimtaja Waziri aliyekuwa naye kuwa
ni Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Charles
Tzeba kwa lengo la kuwasalimia vijana
ambao walikuwa wakiendelea na
mkutano wa uchaguzi. Watuhumiwa wanena Kwa nyakati tofauti, wakijibu tuhuma
hizo watuhumiwa wote walikanusha
kuhusika kutoa rushwa na kuwataka
wanaolalamika kupeleka ushahidi wao
Takukuru na kufikisha malalamiko hayo
katika vikao vya ulinzi na maadili vya CCM.
Shigela kwa upande wake,
akizungumza na waandishi wa habari
alisema kinachotokea sasa kuhusu
tuhuma hizo kilitarajiwa kwani ni
kawaida watu wanaposhindwa katika uchaguzi kutoa malalamiko hata kama
hawana ushahidi wa tuhuma husika.
Shigela alikanusha yeye na Malisa kutoa
fedha kwa viongozi wa mikoa akisema
kwa nafasi yake asingeweza kupata
fursa ya kufanya hivyo kwani alikuwa mratibu mkuu wa uchaguzi kuhakikisha
kila jambo linakwenda sawa.
“Kama kuna watu hawakuridhika kuna
taratibu za chama inabidi zifuatwe, kwa
mujibu wa taratibu zetu kuna siku 14
za malalamiko na hizo mtu anaweza kuzitumia kuandika malalamiko yake
na yapelekwe kwa viongozi wahusika
ili wachuke hatua,” alisema Shigela na
kuongeza:
“Vinginevyo taratibu za chama
haziruhusu kutoa au kupokea rushwa kwa namna yeyote, kwa hiyo kama
mtu anadhani ana uwezo aitumikie
jumuiya popote pale alipo kwa sababu
wote hatuwezi kuwa viongozi kwa
pamoja.”
Kwa upande wake, Malisa alisema: “Nimefanya kazi yangu na kutekeleza
wajibu wangu kwa ukamilifu, kama
kuna jambo lolote ambalo linahusu
UVCCM, basi kamuulizeni mwenyekiti
wa jumuiya maana yupo.”
Bashe alikanusha kuhusika na vitendo vya rushwa na kuwataka wanaotoa
madai hayo, kama wana ushahidi
waupeleke Takukuru au kufikisha suala
hilo katika vikao vya chama hicho.
“Waambieni kwamba wasilete siasa za
shule za sekondari UVCCM, maana kama wangeshinda ni dhahiri kwamba
wasingelalamika. Ninawapa ushauri wa
bure, kwanza kama wana ushahidi wa
madai hayo kwamba mimi Hussein
nimetoa rushwa, basi wapeleke
ushahidi wao Takukuru lakini pia ndani ya chama tunayo Kamati ya Maadili na
Usalama wapeleke malalamiko yao
huko ili yafanyiwe kazi.”
Alisema hawezi kujihusisha na rushwa
kwani hata Rais Kikwete katika hotuba
ya ufunguzi alikemea vitendo hivyo. Fredy akizungumza kwa simu alisema:
“Tuhuma hizo siyo za kweli kwani mimi
licha ya kwamba nilipata barua ya
mwaliko wa kuhudhuria mkutano huo
sikuenda Dodoma kutokana na
kubanwa na kazi. “Kwanza mimi si mjumbe wa mkutano
mkuu japokuwa ni Katibu wa
Uhamasishaji wa Mkoa wa Arusha.
Nilipata mwaliko lakini sikuweza kufika
huko (Dodoma) nimetingwa na kazi
nyingi,” alisema. Matokeo ya uchaguzi Lukuvi alimtangaza Mbunge wa Donge,
Sadifa Juma Khamisi kuwa Mwenyekiti
wa UVCCM baada ya kupata kura 483.
Sadifa alimshinda Rashid Simai Msaraka
aliyepata kura 263, wakati mgombea
mwingine Lulu Msham Abdallah licha ya kujitoa katika kinyang’anyiro hicho
muda mfupi kabla ya kura kupigwa,
alipata kura nane.
Katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti
Mboni Muhita alishinda katika duru ya
pili baada ya kupata kura 489 na kumshinda, Paul Makonda aliyepata
kura 241.
Katika duru ya kwanza, Mboni alikuwa
amepata kura 361 na Makonda kura
206, huku mgombea mwingine Ally
Salum Hapi akipata kura 179. Uchaguzi huo ulirudiwa baada ya wagombea
wote kutofikisha nusu ya kura kama
kanuni zinavyotaka.
“Sheria kushindwa kwa heshima kuliko
kushinda kwa fedheha.”
Makonda aliyekuwa akizungumza kwa hisia jukwaani alisema ikiwa UVCCM
wanataka kujenga taasisi yenye nguvu
na inayoaminika, lazima wahakikishe
wanajiepusha na vitendo vya rushwa
ambavyo vinaua demokrasia.
“Uchaguzi tulioufanya hatukumchagua Sadifa wala Mboni, bali tumechagua
uongozi wa aina ya jumuiya
tunayoitaka, sasa tutarajie jumuiya
hiyo…. kama sikueleweka historia
itakuja kutuambia maana ya maneno
haya,” alisema Makonda na kuongeza: “Kama kuna mtoto wa maskini, mtoto
wa mkulima kama mimi amechagua au
kupiga kura yake kwa sababu ya
rushwa, basi ajue amepanda mbegu
maishani mwake.”
Baada ya Makonda kutoa kauli hizo alishuka jukwaani na kwenda moja
kwa moja nje ya ukumbi ambako
baadhi ya wapambe wake walimfuata
na kuanza kulia machozi.
Baadhi yao walisikika wakisema
kwamba UVCCM wameisaliti demokrasia kutokana na nguvu ya
fedha. Hata hivyo, Makonda alikuwa
akiwafariji kwa kuwaambia wasife
moyo.
 
Kuna watu wanawashwa na vidole vyao yaani bila kuandika na kukomenti dhidi ya Chadema basi bado hawasikiii raha. Mtakuja kuolewa nyie
 
wewe chalinze ulitoa mlungula na hela zako za sembe ndo ukashinda

Aaah mkuu unamuonea kwani Ritz ni mfanya biashara mkubwa wa ushauri wa biashara ukikopa Akibasaccos name ameiba mke wa mtu Dodoma kampeleka kariakoo kwenye ghorofa moja Dada wa kirangi
 
Kuna watu wanawashwa na vidole vyao yaani bila kuandika na kukomenti dhidi ya Chadema basi bado hawasikiii raha. Mtakuja kuolewa nyie

- Ina maana ulishaolewa nini mkuu maana sio rahisi kuongelea njia ambayo hujaiptia pole sana U know

Le Mutuz
 
Kwa chadema sawa hiyo michezo ya rushwa kuendelea ndani ya chama na watasema mambo ya kwao watu wa njee wacingilie ila wangekuwa chama kingine hapo ingekuwa bongee la issue humu ndani. Nimeamini kweli sikio la kufaa alickii dawa# kamakalambwanda
 
baadhi ya wagombea wamelalamika baadhi yao wametumia rushwa kati ya alfu thalasini na hamsini kuwarubuni wajumbe.
mytake hii ni hatari
sourxce startv magazeti

hiyo ni Mipango ya ccm Mkishirikiana na Act lakini hasira zote na habari za wongo ni kuwa Chadema tumefanya chaguzi zetu zote kwa Mafanikio Mazuri sana
 
- Ina maana ulishaolewa nini mkuu maana sio rahisi kuongelea njia ambayo hujaiptia pole sana U know

Le Mutuz

Willy huwa sipendi ku-argue na wewe! Kuna jamaa hapo juu amesema kuwa si riziki na hata yule dada kwenye ile blog yake recently ameandika the same. Nakuheshimu sana naomba tuendeleee na mada na tuache personal attacks! Huku unakotaka twende ni mbali please tujengeane heshima ya mtandaoni hata kama hatufahamiani. Si lazima kila unapoona post yangu unikoti na kujibu ujinga. Please
 
- hehehehehehe cuf si mliwaita mashoga na sasa mmeungana nao leo una ubavu hata kuwatukana na mashoga na huku mmeungana nao? Hahahahahahahaah kwani kwenye ukawa hamko na cuf mliosema mashoga au umesahau unajua ukiwa shoga huwa ni rahisi sana kuamini wengine wote ni kama wewe hahahahahahahaha

le mutuz

eti wewe na nanga mbuta nani mzuri??
 
Kuna watu wanawashwa na vidole vyao yaani bila kuandika na kukomenti dhidi ya Chadema basi bado hawasikiii raha. Mtakuja kuolewa nyie

Sio vidole kuwasha ni njia ya kuishi na mzee @vuta ni kuvute kasema atakusanya i pad zote maana lengo halikufanikiwa.
 
Back
Top Bottom