Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Pesa huna, nguvu huna, hata mkwara!! Hapa ndo inatumika
Ha ha ukimsogelea hapo ananuka chang'aa . Ila watu wahivi wanakuwa na nguvu balaa
Ohoooo!!!!R. I. P
Nadhani tangu apigwe picha hii hadi leo hatunae tena duniani.
Pesa huna, nguvu huna, hata mkwara!! Hapa ndo inatumika
Hahahaaa umenikumbusha komando kipensi
Chamg'aa ndio nini?Ha ha ukimsogelea hapo ananuka chang'aa . Ila watu wahivi wanakuwa na nguvu balaa
GongoChamg'aa ndio nini?
uyu jamaa nilimshuhudia maeneo ya ruvuma wlayan tundru anamapozi mengi sana ya kupiga picha mda wote kalewa.
Si vema kuombeana vifo. huyu jamaa yupo hai na anadunda,waweza tangulia wewe na ukamuacha kama alivyoR. I. P
Nadhani tangu apigwe picha hii hadi leo hatunae tena duniani.
Ni kweli yu hai huko Tunduru hata leoSi vema kuombeana vifo. huyu jamaa yupo hai na anadunda,waweza tangulia wewe na ukamuacha kama alivyo