mzee wa misele
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 366
- 46
Habari wakuu,
Kuna mdada mmoja muigizaji wa Bongo movie anaitwa batuli nimetokea kumpenda sana kila siku napenda kuangalia movie zake huwa natamani sana kukutana nae, nikiangalia tabasamu lake ndo ananimaliza kabisa.
Wakuu naitaji kuwa na huyu dada kwa gharama zozote zile au kama kuna mtu anajuwa anapoishi au namba zake.
Naomba ni PM tafadhali , naombeni mnisaidie kijana wenu maisha ya useja yamenishinda.