Battle. Zanzibar vs Tanganyika

Battle. Zanzibar vs Tanganyika

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Leo naomba nije na hili battle katika ya Zanzibar na Tanganyika ama kama mnavoojita Tanzania ya sasa.
Hapa tunajadili maendele, hali ya siasa, kiuchumi kiutamaduni, maadili, michezo, viongozi bora kuwahi kutokea na waliopo sasa, wasomi na chochote unachoona kinafaa kulinganishwa.
 
Uwepo tu wa Zanzibar huku Tanganyika ikiwa haipo inafunga mjadala wa Hoja yako kwamba nani ni zaidi 🐼
 
Leo naomba nije na hili battle katika ya Zanzibar na Tanganyika ama kama mnavoojita Tanzania ya sasa.
Hapa tunajadili maendele, hali ya siasa, kiuchumi kiutamaduni, maadili, michezo, viongozi bora kuwahi kutokea na waliopo sasa, wasomi na chochote unachoona kinafaa kulinganishwa.
Naanza mm zanzibar ndio sehem watu wana utamaduni na maadili mema Afrika Mashariki nzima
 
Kupe vs Chawa

Waafrika ni nyani wanaovaa nguo.
 
Back
Top Bottom