Battle: Watu wenye akili ya maisha na watu wenye akili za darasani

maisha hayana fomula.Kila mtu anafanikiwa kulingana na kudra za mwenyezi MUNGU.ukifanikiwa shukuru na sio kuanza kudharau wengine sababu wamekwama.
ila ELIMU ni yamuhimu kuliko unavoweza kufikiria.
 
Back
Top Bottom