Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
smartAkili ya Maisha inakuja Ukipata shida Ukiona Mwenye elimu Yupo Yupo anasubiri ajira bas anauwakika wa pakula na kulala. wapo wenye elimu na wana Akili za Maisha. Na wasio na elimu wasio na Akili ya Maisha.
Akili ya Maisha inakuja Ukipata shida. Haijalishi umesoma au hujasoma
Shida huleta maarifa
Daaa mkuu aiseee huyo jamaa uliyemaliza nae la saba saivi mkikutana huwa mnazungumza maongezi ya aina ganiHii mada ni maumivu kwangu, nimekomaa na elimu pesa hamna, kuna jamaa nilimaliza nae darasa la saba yupo vizuri kweli kipesa. Zaidi tena baada ya kumaliza my first degree niliajiriwa na mtu aliyeishia form two na sasa ni tajiri, inauma sana.
Vyovyote iwavyo elimu lazima itafutwe sana tu kwani huwa najiuliza sana mbona hao matajiri wasio na elimu huwa wanasomesha sana watoto wao tena kwa gharama yoyote, iwe nchini au nje ya nchi
Akili ya Maisha inakuja Ukipata shida Ukiona Mwenye elimu Yupo Yupo anasubiri ajira bas anauwakika wa pakula na kulala. wapo wenye elimu na wana Akili za Maisha. Na wasio na elimu wasio na Akili ya Maisha.
Akili ya Maisha inakuja Ukipata shida. Haijalishi umesoma au hujasoma
Shida huleta maarifa
Kula like LasagnaAkili ya Maisha inakuja Ukipata shida Ukiona Mwenye elimu Yupo Yupo anasubiri ajira bas anauwakika wa pakula na kulala. wapo wenye elimu na wana Akili za Maisha. Na wasio na elimu wasio na Akili ya Maisha.
Akili ya Maisha inakuja Ukipata shida. Haijalishi umesoma au hujasoma
Shida huleta maarifa
Kivipi mkuuuuDuuuh mijadala mingne inatuchora tulivyo
Baada ya kumaliza unaenda kuajiriwa na usipoajiriwa unakuwa na maisha ya ujanjaujanja vilevile?Acha uvivu kijana.. piga shule.. maisha ya ujanja ujanja tunakoelekea yanapotea..
Huo mjadala inabidi na joseph msukuma ashiriki atwambie kuhusu wale maprofesa wanane aliowabwaga huko geita