Gluk
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 1,856
- 2,953
Hallow.
Leo napenda tujadili na kuangalia fursa zilizo katika mikoa hii miwili niliyoitaja.
Lengo ni kupanua wigo wa vijana wanaotafuta fursa katika nchi yetu hii ya Tanzania.
Nitakuwa nikileta hapa mikoa miwili miwili inayoshabihiana katika mambo kadhaa wa kadhaa ili kumuwezesha kijana au mtu yeyote kuona fursa zilizo katika mikoa husika na kuona ni namna gani anaweza kuwekeza katika eneo husika, kulingana na anatakavyoona kuwa inafaa
Nikianza na tabora ni mkoa unaozalisha Tumbaku na asali kwa wingi.
Singida wanalima sana sana kilimo cha alizeti.
Tuangalie mkoa gani una fursa zaidi.
Gharama za maisha na tamaduni za wakazi wa maeneo hayo mawili .
Tujadili bila kuweka mahaba na kutotoa lugha zisizofaa
NB: Nawa mkono, Epuka misongamano.
Sent using Jamii Forums mobile app