Battle royal: Kampala vs Dar es Salaam

OysterBay, "The Beverly Hills" of Dar!

Photo0164.jpg


Photo0163.jpg
Usifananishe osterbay na yale majengo yenu kama kota za wafanyakazi ,mnadhani nyumba kufanana mtaa mzima ndio posh? Fika upaone wacha ujinga
 
Usifananishe osterbay na yale majengo yenu kama kota za wafanyakazi ,mnadhani nyumba kufanana mtaa mzima ndio posh? Fika upaone wacha ujinga
ATi hio Oysterbay ndio the poshest in Dar? Whoa! Mko nyuma kweli balaa......

Hio hata haiwezi kuwa ranked amongst the poshest estates in Nairobi!
 
hii thread imenifurahisha sana :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D sasa ikiwa nairobi imeshindwa kuingia kwa dar unaleta mjukuu kampala with urban area of 300km sq
 
Kampala is undeniably one of the most beautiful cities on the continent, with a nightlife to die for. With a population of 3 million people, it is the seat of Government and Economic capital of Uganda.

Dar es Salaam is the largest city in Tanzania with a population of 3 million people. It is the economic capital of Tanzania, the seat of Government being Dodoma, 500km away from Dar es Salaam.

Now the two cities have experienced tremendous growth in the last few years. Let us see what they have to offer for a visitor and any opportunities abound.
Best sport and soccer prediction website :

www.predictionkings.info


Get Daily sets of 5 odds accas from predictionkings.info
 
Anzisha hata Nairobi vs Cape town........tuko gangari!
Kua na uhakika wa kupoteza,just imagine kasarani ndio stadium yko unayoitegemea ,malls,roads,suburb,industries nn kingine?loser

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Am just curious! Kwenye thread ya kampala v dar wakenya wametokea wapi? Ndugu zangu hivi ni kweli mmekosa ustaarabu hivo? Nilikua naskia wakenya wakora kumbe ni kweli? Kwa nini hawa watu wanakimbele mbele hivyo? Au mnajifanya ndo spokesman wa E.A. rubbish. Kuna thread yenu kule cjawaona waganda wakiingilia kilichowaleta huku ni nini? Ndo maana......

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
But nyinyi Tanzanians hampendi maendeleo. Mnakataa East African Federation iwe nchi moja
Tunayapenda sana. Juzi tumefungua one stop border post pale Namanga. Kinachofuatia ni kuwa na Sarafu moja na baada ya hapo tunaunda East African Federation. Ila mtakapoiunda hiyo Federation nitaomba mnipe mimi urais japo wa mwezi mmoja tu.
 
huna marinda ww, mbona unaropoka hovyo
Kila mtu anaongea maoni yake na ni ruksa kuwa na maoni tofauti. Sasa wewe kama hukubaliani na tofauti za maoni tatizo litakuwa kwako. Si lazima kila mtu atazame vitu from your point of view.
 
Kila mtu anaongea maoni yake na ni ruksa kuwa na maoni tofauti. Sasa wewe kama hukubaliani na tofauti za maoni tatizo litakuwa kwako. Si lazima kila mtu atazame vitu from your point of view.
Mnafeli sana, Dar usifananishe na huo uchafu wenu!!
 
Back
Top Bottom