Battle royal: Kampala vs Dar es Salaam

D

Depay

JF-Expert Member
6,562
2,000
Kampala is undeniably one of the most beautiful cities on the continent, with a nightlife to die for. With a population of 3 million people, it is the seat of Government and Economic capital of Uganda.

Dar es Salaam is the largest city in Tanzania with a population of 3 million people. It is the economic capital of Tanzania, the seat of Government being Dodoma, 500km away from Dar es Salaam.

Now the two cities have experienced tremendous growth in the last few years. Let us see what they have to offer for a visitor and any opportunities abound.
 
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
3,684
2,000
Haha wakenya mmehamia huku mmekimbia aibu zenu za kuonyeshwa kibera
 
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
3,684
2,000
Kampala inawatoa vumbi bana. Sisai tulihamia Cape Town VS Nairobi.
Msivyo na aibu wakazi wa kibera ndo mnapiga kelele humu kuliko hata waganda wenyewe yaani nyie ndo maana wazungu wanawapenda wanawawowa mnashobo kuliko maelezo
 
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
11,945
2,000
Msivyo na aibu wakazi wa kibera ndo mnapiga kelele humu kuliko hata waganda wenyewe yaani nyie ndo maana wazungu wanawapenda wanawawowa mnashobo kuliko maelezo
Ingia muhimbili nashuku uginjwa wa moyo unakudhuru. Ligi yenyu ni Kampala ila naona wanawatoa vumbi hata pande ya barabara... Tanzagiza bure kabisa.
 
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
3,684
2,000
Ingia muhimbili nashuku uginjwa wa moyo unakudhuru. Ligi yenyu ni Kampala ila naona wanawatoa vumbi hata pande ya barabara... Tanzagiza bure kabisa.
Haha angesema hapa mganda ningeenda hata kwa sangoma ila anayosema haya ni yuleyule mkunya ambae kachakazwa kabaki kusafiria nyota za wenzie pole sana blaza kaka rudi nyumbani kumenoga au umekimbia kulala ndani ya fulusuti na kushindia avocado.......rudi kwenu asee huko ndo nyumbani kwa jirani hakusitiri matako yako
 
Ushatibiwa muhimbili?
 
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
3,684
2,000
First thing first, Dar is the city of 5 million people. Second, where are Uganda's to speak from themselves, why Kenyans are speaking for Uganda's?
Wakiambiwa wana shobo wanalialia
 
Forum statistics

Threads
1,425,153

Messages
35,082,647

Members
538,214
Top Bottom